Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kabisa mkuu, waswahili wanasema mkataa kwao mtumwaπŸ˜…πŸ˜…
Inatakiwa apate ushindi wa kishindo sio
images.jpg
 
ngoja nimpigie JECHA narudi apa sasahivi
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Ungeweka na link ya kuingia huko direct hapo chini
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818

washinge tumia usalama kuiba kura angeshinda kirahisi lakini sasa atapata nyingi za nchi nyingine ambazo hazijui unyama wanaofanyiwa upinzani
 
Waandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
Wewe jamaa unauzandiki
 
Yaani watanzania mmeamua kabisa kumpigia wa Ghana? Maana naona kila nikipitia link hiyo asilimia za Rais wa Ghana anazidi kuongeza kura huku za kwetu zikiwa zimesimama na kupungua. Hebu tuwe wazalendo jamani
 
washinge tumia usalama kuiba kura angeshinda kirahisi lakini sasa atapata nyingi za nchi nyingine ambazo hazijui unyama wanaofanyiwa upinzani
Unao ushahidi wa hili .peleka icj
 
Back
Top Bottom