UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Ni haki yako dada, hata Nov 28 kuna watu watu walimpigia kura kamanda msaliti, pamoja na kujua kuwa angegalagazwa vibaya!Mimi nimeshampigia Nana Okafo wa Ghana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki yako dada, hata Nov 28 kuna watu watu walimpigia kura kamanda msaliti, pamoja na kujua kuwa angegalagazwa vibaya!Mimi nimeshampigia Nana Okafo wa Ghana
Nipatie hio link mkuuYaani watanzania mmeamua kabisa kumpigia wa Ghana? Maana naona kila nikipitia link hiyo asilimia za Rais wa Ghana anazidi kuongeza kura huku za kwetu zikiwa zimesimama na kupungua. Hebu tuwe wazalendo jamani
Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Sifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani
Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!
Nenda google halafu andika African leadership magazine bila kuacha nafasi huko utakuta kila kituNipatie hio link mkuu
Au
Tuambie tugoogle nini vije
Hatuwezi kuacha kumtendea haki Rais wetu
Daudi ndio nini hiyo sasa🙄
Amefanya nini cha maana hapo Ghana
Hutaki meza wembe kijeba.Hujui kitu dogo .
Mkuu, Acha hizo aiseeNimeshampigia rais wa Ghana muda mrefu sana. Wanaccm ndio mumpigie kura.
Alafu kabla sijapiga kura yangu mnipe jina la Mwenyekiti wa tume yao ya uchaguziWatanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Mkuu, Acha hizo aisee