Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Yaani watanzania mmeamua kabisa kumpigia wa Ghana? Maana naona kila nikipitia link hiyo asilimia za Rais wa Ghana anazidi kuongeza kura huku za kwetu zikiwa zimesimama na kupungua. Hebu tuwe wazalendo jamani
Nipatie hio link mkuu

Au

Tuambie tugoogle nini vije

Hatuwezi kuacha kumtendea haki Rais wetu
 
1609611736712.png

Mpaka sasa

Link: https://www.africanleadershipmagazine.co.uk/alm-persons-of-the-year-2020/
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana


USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Alafu kabla sijapiga kura yangu mnipe jina la Mwenyekiti wa tume yao ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom