Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana


USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Itatusaidia nini?
 
Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
Keshapita bila kupingwa kwa kura 99.9

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Nijuavyo watanzania tuu wanafiki, hivyo chochote sikiamini na namna na kwa
Kuwa imani kupitia mfumo huru wa habari nao ulisha vurugiga zamani. Hivyo kuamini taaarifa inahitaji muda wa kujiridhisha kwanza.
 
😂😂😂😂😂😂 anapiga hadi achoke
Aisee acha tu nimecheka nilipo fikiria hivyo nilikuwa nina piga changamoto na kinywaji triple dah nimecheka sana ndugu 😂😂
 
Back
Top Bottom