MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Thubutu!Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu!Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?
Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?
Unamuamini mkeo? ..labda umpigie wewe, mie na mke wangu kamwe kama watz wazalendo hatutakubali!.
Uzuri na wewe ni MTANZANIANijuavyo watanzania tuu wanafiki, hivyo chochote sikiamini na namna na kwa
Kuwa imani kupitia mfumo huru wa habari nao ulisha vurugiga zamani. Hivyo kuamini taaarifa inahitaji muda wa kujiridhisha kwanza.
Sifa ya ushoga haipo, ingekuwepo Tobbo angeshindaDemokrasia ndio inatakiwa kupigiwa kura, sio Bombardier zilizo-park.
Hilo swali ni la Kipumbavu, Kwani Ulivyompigia kura wewe Magufuri nini Kimebadirika kwenye Maisha yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulipompigia rais wa Ghana kipi kimebadirika kwenye maisha yako?
TuambieAcha upuuzi,baada ya uchaguzi Ghana wamekufa raia wangapi?
Ushindi ni lazima!Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.
Kuna kila dalili hadi kufikia hiyo tarehe 8 Jan wakifunga kuna kujikuta ana 10% tuuView attachment 1666369
Kwa namna maria sarungi na kigogo anavyohamasisha watu wampigie yule wa rais wa ghana ni halali hata akiangushwa.Kuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Inafunguka kwa shida sana mkuu, na ata ikifunguka kwenye position ya african leader hakuna opt ya namna yoyote ya kuchagua, yaan hakuna kidoti kwa pembeni wala kwa chini hakuna neno vote