Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Mbona kuna gazeti moja la kada wa ccm amesema kiongozi wa Tanzania ndiyo kaibuka mshindi?
Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.
Kuna kila dalili hadi kufikia hiyo tarehe 8 Jan wakifunga kuna kujikuta ana 10% tuu
Screenshot_20210103-113822.jpg
 
Nijuavyo watanzania tuu wanafiki, hivyo chochote sikiamini na namna na kwa
Kuwa imani kupitia mfumo huru wa habari nao ulisha vurugiga zamani. Hivyo kuamini taaarifa inahitaji muda wa kujiridhisha kwanza.
Uzuri na wewe ni MTANZANIA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulipompigia rais wa Ghana kipi kimebadirika kwenye maisha yako?
Hilo swali ni la Kipumbavu, Kwani Ulivyompigia kura wewe Magufuri nini Kimebadirika kwenye Maisha yako?
 
AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR

(Formerly: ALM Person of the Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.

....ndo maelezo ya pale mtandaoni. Inatakiwa kupigia kura kiongozi "aliyestawisha" na kuboresha demokrasia.

Inabidi uwe mnafiki sanaa kumpigia kura mtu fulani aliyeua kabisa demokrasia
 
Kuna Upigwaji Kura wa Tuzo zinapigwa huko ila nashangaa kila nikichungulia tu nawaona Viongozi wengine na Percentages zao ila Kiongozi wangu nimejitahidi hadi Kuzuumu nijiridhishe kama nae yupo lakini hola. Kwa jinsi Kiongozi wangu wa Tanzania alivyo na Maono, Mchapakazi, Hodari na ameitoa Tanzania pabaya na sasa inaenda Peponi Kimaendeleo naona hawa ALM wanamuonea mno.
Kwa namna maria sarungi na kigogo anavyohamasisha watu wampigie yule wa rais wa ghana ni halali hata akiangushwa.
Labda na yeye afanye mpango aibe kura
 
Huyu wa kwenu sio kiongozi bora. Amevuruga Demokrasia nchini, matukio ya ukiukaji wa haki za binadamu ndio kipaumbele chake, visasi na kuwasingizia watu makosa. Kufungia account za wafanyabiashara etc.
The world is watching him, ndio maana hawezi kupata hiyo tuzo.
 
Anashindanishwa na Nani hata hivyo wataiba tu hao hamna haja ya kumpigia uyo...
 
Back
Top Bottom