Nimeangalia Twitter kwenye post waliyomtaja Rais Magufuli, dah...kazi ipo. Kwanza ni post yenye comment nyingi kuliko zote walizotuma. Nadhani hata waandaaji watashtuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda mrefu yaani, na mke wangu alikuwa analeta shobo na yeye nikamwambia fungua link, nimefuatilia mpaka kampigia rais wa Ghana. Uzuri wa hizo kura sio siri.
Waonee wapi, au unadhani wao hawajui yanayoendelea kisa wako kimya?Wanaona watu wanauhuru wao wa kusema japo wanalialia eti wamebanwa
Kwani nchi nyingine hazina ujenzi wa nchi? Ama ni lini ujenzi wa nchi kwenye nchi hii uliwahi kusimama?Yapi yanayoendelea zaidi ya ujenzi wa nchi
Mungu kakupiga vibaya sana !Wakuu kwema? Kwangu haifunguki, kunani?! Natamani kumpa Kura JPM haraka. Wazalendo Oyee!
RIP LwajabeYapi yanayoendelea zaidi ya ujenzi wa nchi
Na "kunyamazisha" mawazo mbadala ndani ya nchi hayasaidii hata kidogo. Watu watatafuta tu kila mwanya waonyeshe hisia zao. Ni hulka ya kila binadamu. Huu ni mfano tu.Lazima washangae maana watajua wanavyomjua sio anavyojulikana na watanzania.
Over my dead body!Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Hatutampigia kura ng'oooMungu bariki wazungu- Erythrocyte, Salary Slip.
soma post #301Hakuna inchi ilipiga hatua kubwa za ujenzi kama sisi fatilia report
Pole. Subiri kuteuliwa.Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Umaarufu wa Magu ni mkubwa sanaNimeangalia Twitter kwenye post waliyomtaja Rais Magufuli, dah...kazi ipo. Kwanza ni post yenye comment nyingi kuliko zote walizotuma. Nadhani hata waandaaji watashtuka
Ulionaje mwehu alivyowatia vidole nyie na Amsterdam wenu?