Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Muda mrefu yaani, na mke wangu alikuwa analeta shobo na yeye nikamwambia fungua link, nimefuatilia mpaka kampigia rais wa Ghana. Uzuri wa hizo kura sio siri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima washangae maana watajua wanavyomjua sio anavyojulikana na watanzania.
Wanaona watu wanauhuru wao wa kusema japo wanalialia eti wamebanwa
 
Lazima washangae maana watajua wanavyomjua sio anavyojulikana na watanzania.
Na "kunyamazisha" mawazo mbadala ndani ya nchi hayasaidii hata kidogo. Watu watatafuta tu kila mwanya waonyeshe hisia zao. Ni hulka ya kila binadamu. Huu ni mfano tu.
 
AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR

(Formerly: ALM Person of the Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.

UKISOMA HAYO MAELEZO KISHA UKAPIGA KURA UTAMPIGIA NANI?
 
Kwani nchi nyingine hazina ujenzi wa nchi? Ama ni lini ujenzi wa nchi kwenye nchi hii uliwahi kusimama?
Hakuna inchi ilipiga hatua kubwa za ujenzi kama sisi fatilia report
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.

Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Pole. Subiri kuteuliwa.
 
Nimeangalia Twitter kwenye post waliyomtaja Rais Magufuli, dah...kazi ipo. Kwanza ni post yenye comment nyingi kuliko zote walizotuma. Nadhani hata waandaaji watashtuka
Umaarufu wa Magu ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom