Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Umaarufu wa Magu ni mkubwa sana
Ni kweli mkuu.
Hata Nyerere ni maarufu, Mandela ni maarufu, Hitler ni maarufu, Desmond Tutu ni maarufu, Mobutu Seseko ni maarufu, Darwin ni maarufu, Da Vinci ni maarufu, Chinua Achebe ni maarufu, na kadhalika, na kadhalika.
Swali: Umaarufu kwa lipi?
 
Huyo anayepigiwa chapuo hafai hata kuwemo
 
Mchuano ni mkali, JPM sasa anaanza kupindua meza. Mpaka mwisho wa kupiga kura Tanzania itakuwa imeibuka kidedea dhidi ya Ghana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!

Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?

Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
hapa LISU katoka wapi tena,wanachokiona watu hapa ni kuwa, wetu hana hizo sifa ndio maana wameamua kupigia kura ugenini huelewi nini sasa. ukisoma hapo chini utaona vigezo vya kumchagua mtu je anavyo hivyo vigezo?
AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.
hebu fungua akili yako ondoa unafiki wote na ushabiki, kisha nikupe box la kura upige utampigia Brother? pamaoja na kuwa ni ndugu yetu?
 
Nana Akufo wa Ghana ndiye mdemokrasi, siyo huyu mbaguzi mwizi wa Kura. La hasha.
 
Jana usiku na mapema leo asubuhi alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 90. Imekuwaje tena amekuwa na 56?
Tukuulize wewe na roho yako mbaya ya kishirikina ,weka hapa huo mchanganuo unaonesha alikuwa na 90%.

Roho mbaya ndiyo inawafukarisha wapinzani
 
Mtoa post uwe mkweli, politiciaa wa mwaka ni Lissu, Sababbu zipo nyingi tu kama ifuatavyo:
1.Hakuwepo nchini miaka yote tangu septemba 2017, katokea hospitali lakii kampeni alizopiga ni kufa mtu, na sia haja ya kutaja alishida au hakushinda hilo kila mtu analifahamu lipoje!
2.Alizogwa na kesi hata kala hajaja nchini lakii amekuja na kuodoka huku akipeya katikati ya waliokuwa wanaima kila siku kwama akirudi nchii atakamatwa akitua tu pale airport!
3.i mwaasiasa aliyeweza kusoma alama za yakati kujua wanaichi wanataka nini hata JPM mwenyewe siku alipokuwa anakabidhiwa cheti cha ushindi a NEC alikiri kuwa wapinzani wamemsaidia kuja wananch waataka nini.
4.Ni mwanasiasa aliyelazimika kusitisha msimamo wake wa kuigiza watu barabarani ili kulinda amai ya nchi yetu na kuepusha maafa huku akitafta uwanja mwingine ulio salama kwa kuendeleza mapambano.
5.Ni mwanasiasa pekee wa Tazania ukimtoa baba wa Taifa Mwalimu yerere, aliyeweza kuvuna tuzo ya kimataifa ya kupigania demokrasia na uhuru waanchi wake.
Kwa vigezo hivi Lissu anaqualify as the best politician of the year!
 
Mpigie huyo wa Ghana unaeona anafaa waache wampigie Magufuli wanaoona anafaaa shaka iko wapi?
 
Kumpa magu kura kwa kigezo Cha deepening democracy na contribute for the Democratic values in the continent ni kutoitendea haki demokrasia.Tumeshuhudia madudu yaliyofanyika uchaguzi mkuu na tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…