Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Na hapo Lisu anakuja kuwa rais?Over my dead body!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo Lisu anakuja kuwa rais?Over my dead body!
Haahaa Sio kwa kujipendekeza huko.yeye anawatendeage haki wenzio?Nipatie hio link mkuu
Au
Tuambie tugoogle nini vije
Hatuwezi kuacha kumtendea haki Rais wetu
HaahaaHuku kwangu ma group 3 watu zaidi ya 500 wote wamepiga kwa John Pombe Magufuli tena wanamwita kipenzi cha waafrika na dunia
Ni kweli mkuu.Umaarufu wa Magu ni mkubwa sana
Huyo anayepigiwa chapuo hafai hata kuwemoAFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR
(Formerly: ALM Person of the Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.
UKISOMA HAYO MAELEZO KISHA UKAPIGA KURA UTAMPIGIA NANI?
hapa LISU katoka wapi tena,wanachokiona watu hapa ni kuwa, wetu hana hizo sifa ndio maana wameamua kupigia kura ugenini huelewi nini sasa. ukisoma hapo chini utaona vigezo vya kumchagua mtu je anavyo hivyo vigezo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!
Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?
Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
Twitter Ina vichwa. Wamem expose Hadi aibu.Lazima washangae maana watajua wanavyomjua sio anavyojulikana na watanzania.
Nana Akufo wa Ghana ndiye mdemokrasi, siyo huyu mbaguzi mwizi wa Kura. La hasha.AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR
(Formerly: ALM Person of the Year 2020 – Political Leadership)
This recognition is open to an African, whose contribution has immensely contributed to deepening democracy and democratic values in the continent.
UKISOMA HAYO MAELEZO KISHA UKAPIGA KURA UTAMPIGIA NANI?
Tukuulize wewe na roho yako mbaya ya kishirikina ,weka hapa huo mchanganuo unaonesha alikuwa na 90%.Jana usiku na mapema leo asubuhi alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 90. Imekuwaje tena amekuwa na 56?
Mpigie huyo wa Ghana unaeona anafaa waache wampigie Magufuli wanaoona anafaaa shaka iko wapi?Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Kazi ndogo sana hiyo,
Mwambieni Mahera amalize kazi...
Nec...wana uzoefu wa kuiba kura ...jiwe atashinda tu
Ongeza 1mln bado haikusaidii kitu hapo nyumbani kwako au kuipunguzia kitu serikali ya awamu ya 5Nimempigia kura 10 huyo Nana Akufo
Punguza jazba mataga.Ongeza 1mln bado haikusaidii kitu hapo nyumbani kwako au kuipunguzia kitu serikali ya awamu ya 5
Haahaa huko aende jecha...Tiyari nishafanya yangu kwa udhamini mnene wa VPN
Jiwe hali mbaya huko inabidi jeshi la polisi lipelekwe likaongeze nguvu
Wapinzani wa nn mkuuWattanzanua wa mtandaoni wengi ni wapinzani
Mpigie huyo wa Ghana unaeona anafaa waache wampigie Magufuli wanaoona anafaaa shaka iko wapi?
Umesoma vigezo vya kumpa kura? Deepening democracy...magu kafanyanye kwa kigezo hicho?Mimi nineshampigia John Pombe Magufuli.