Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Wa Ghana ndio anayefaa, hivyo lazima watu wahimizwe kumpigia anayestahili.
Tatizo ni ushabiki unawasumbua piga kura yako tusubiri majibu na hata akishinda Magufuli bado hamtakubali macdm,hilo liko wazi.
 
Tatizo ni ushabiki unawasumbua piga kura yako tusubiri majibu na hata akishinda Magufuli bado hamtakubali macdm,hilo liko wazi.

Aliwahi kushinda uchaguzi gani halali? Maana toka akiwa mbunge alikuwa anapita kwa figisu za kupita bila kupingwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!

Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?

Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
Kumpa kura jpm kwa kigezo Cha deepening of democracy ni kutoitendea haki afrika na nchi yetu pia.magu angepewa kwa vigezo vingine Sio democracy
 
Aliwahi kushinda uchaguzi gani halali? Maana toka akiwa mbunge alikuwa anapita kwa figisu za kupita bila kupingwa.
Wewe ni uchaguzi gani ambao umewahi kushinda?

Na kwann ukubali kuongozwa na mtu ambaye unauhakika kashinda kwa hila?

Au ni lini umewahi kukosea ktk maisha yako na kukubali hilo kisha kujikosoa?

Kila siku unashindwa wewe tu iwe kwa hila au uhalali.........hujiulizi?
 
sijawahi kugombea hivyo siko kwenye kundi la kushinda.

Sina silaha za kupambana na aliyeshinda kwa hila.

Nimewahi kukosea na kujirekebisha mara nyingi tu.

Huwa sishindwi maana hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kumpa kura jpm kwa kigezo Cha deepening of democracy ni kutoitendea haki afrika na nchi yetu pia.magu angepewa kwa vigezo vingine Sio democracy
Kwani shida iko wapi jamani simmuingize rais wenu lissu then mmpigie si alishinda urais katika nchi ya ma-cdm ya afrika yenu?

Ujuaji na chuki vinawatafuna jipangeni upya
 
Sasa mjinga ni nani anayepiga kelele kwa vitu asivyokuwa na uwezo navyo au aliyeshinda kwa hila na kutambulika kinataifa?

Hujawahi kugombea sasa waliogombea wameshinda ambacho huelewi nini?
 
Sasa mjinga ni nani anayepiga kelele kwa vitu asivyokuwa na uwezo navyo au aliyeshinda kwa hila na kutambulika kinataifa?

Hujawahi kugombea sasa waliogombea wameshinda ambacho huelewi nini?

Hata Idd Amini alishinda na kutambulika kimataifa.

Wameshinda kwani walishindana? Tofautisha kushinda na kutangazwa mshindi.
 
Kubisha na kilaza kama wewe ni kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…