Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Hivi hakuna namna ya kurevoke kura na kupiga upya?Wa Ghana ndio anayefaa, hivyo lazima watu wahimizwe kumpigia anayestahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hakuna namna ya kurevoke kura na kupiga upya?Wa Ghana ndio anayefaa, hivyo lazima watu wahimizwe kumpigia anayestahili.
Acheni chuki binafsi itawatafuna mpaka!!Punguza jazba mataga.
Hamna.Hivi hakuna namna ya kurevoke kura na kupiga upya?
Tatizo ni ushabiki unawasumbua piga kura yako tusubiri majibu na hata akishinda Magufuli bado hamtakubali macdm,hilo liko wazi.Wa Ghana ndio anayefaa, hivyo lazima watu wahimizwe kumpigia anayestahili.
Tatizo ni ushabiki unawasumbua piga kura yako tusubiri majibu na hata akishinda Magufuli bado hamtakubali macdm,hilo liko wazi.
Haahaa kwa kigezo Cha kuongeza demokrasia au kutumbua?Na kwa taarifa yako hizo kura asilimia kubwa ninkutoka mataifa mengine. Sie bado hatujaanza mimina lura zetu.
Jpm anakubalika sana africa.
Kumpa kura jpm kwa kigezo Cha deepening of democracy ni kutoitendea haki afrika na nchi yetu pia.magu angepewa kwa vigezo vingine Sio democracy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!
Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?
Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
Wewe ni uchaguzi gani ambao umewahi kushinda?Aliwahi kushinda uchaguzi gani halali? Maana toka akiwa mbunge alikuwa anapita kwa figisu za kupita bila kupingwa.
Tumieni vpnWameondoa kaduara keupe mkuu na kale ka option ka vote pia hakapo.
Katika democracy au...Umaarufu wa Magu ni mkubwa sana
sijawahi kugombea hivyo siko kwenye kundi la kushinda.Wewe ni uchaguzi gani ambao umewahi kushinda?
Na kwann ukubali kuongozwa na mtu ambaye unauhakika kashinda kwa hila?
Au ni lini umewahi kukosea ktk maisha yako na kukubali hilo kisha kujikosoa?
Kila siku unashindwa wewe tu iwe kwa hila au uhalali.........hujiulizi?
Kwani shida iko wapi jamani simmuingize rais wenu lissu then mmpigie si alishinda urais katika nchi ya ma-cdm ya afrika yenu?Kumpa kura jpm kwa kigezo Cha deepening of democracy ni kutoitendea haki afrika na nchi yetu pia.magu angepewa kwa vigezo vingine Sio democracy
Asalaleeee......imekuwa hivyo?Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Sasa mjinga ni nani anayepiga kelele kwa vitu asivyokuwa na uwezo navyo au aliyeshinda kwa hila na kutambulika kinataifa?sijawahi kugombea hivyo siko kwenye kundi la kushinda.
Sina silaha za kupambana na aliyeshinda kwa hila.
Nimewahi kukosea na kujirekebisha mara nyingi tu.
Huwa sishindwi maana hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Sasa mjinga ni nani anayepiga kelele kwa vitu asivyokuwa na uwezo navyo au aliyeshinda kwa hila na kutambulika kinataifa?
Hujawahi kugombea sasa waliogombea wameshinda ambacho huelewi nini?
Haahaa tutampa yule wa Ghana.Jpm atapewa kwa vigezo vingine Sio democracyKwani shida iko wapi jamani simmuingize rais wenu lissu then mmpigie si alishinda urais katika nchi ya ma-cdm ya afrika yenu?
Ujuaji na chuki vinawatafuna jipangeni upya
Siku unapata adhabu ya viboko hadharani na clip yako kuanza kuzunguka ktk mitandao ya kijamii ndipo utakapofunguka macho.Mpigie huyo wa Ghana unaeona anafaa waache wampigie Magufuli wanaoona anafaaa shaka iko wapi?
Mtoa post uwe mkweli, politiciaa wa mwaka ni Lissu, Sababbu zipo nyingi tu kama ifuatavyo:
1.Hakuwepo nchini miaka yote tangu septemba 2017, katokea hospitali lakii kampeni alizopiga ni kufa mtu, na sia haja ya kutaja alishida au hakushinda hilo kila mtu analifahamu lipoje!
2.Alizogwa na kesi hata kala hajaja nchini lakii amekuja na kuodoka huku akipeya katikati ya waliokuwa wanaima kila siku kwama akirudi nchii atakamatwa akitua tu pale airport!
3.i mwaasiasa aliyeweza kusoma alama za yakati kujua wanaichi wanataka nini hata JPM mwenyewe siku alipokuwa anakabidhiwa cheti cha ushindi a NEC alikiri kuwa wapinzani wamemsaidia kuja wananch waataka nini.
4.Ni mwanasiasa aliyelazimika kusitisha msimamo wake wa kuigiza watu barabarani ili kulinda amai ya nchi yetu na kuepusha maafa huku akitafta uwanja mwingine ulio salama kwa kuendeleza mapambano.
5.Ni mwanasiasa pekee wa Tazania ukimtoa baba wa Taifa Mwalimu yerere, aliyeweza kuvuna tuzo ya kimataifa ya kupigania demokrasia na uhuru waanchi wake.
Kwa vigezo hivi Lissu anaqualify as the best politician of the year!