Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwa mujibu hiyo tuzo kiongozi anayetakiwa kupigiwa kura anatakiwa awe na sifa gani?
 
Siku unapata adhabu ya viboko hadharani na clip yako kuanza kuzunguka ktk mitandao ya kijamii ndipo utakapofunguka macho.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Wewe umefunguka macho?

Au kulalamika mitandaoni mnakofanya ndiyo kufunguka macho?

Nichapwe viboko kwa lipi au hao waliochapwa wamefuatwa kwao wakachapwa tu bila sababu yoyote?

Acha kutetea upuuzi kwa hoja zisizo na mashiko,utabaki kupiga domo humu siku zinaenda na uzee unakuandama.

Kosoa kwa hoja zenye mashiko na ushahidi siyo kufuata mkumbuko
 
Wacha tumpigie Jiwe tu,
 
Nana addo si ndo amejiongezea muhula wa kugombea Ghana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…