Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!
Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
[emoji38][emoji38]Itatusaidia nini?
Wewe umefunguka macho?Siku unapata adhabu ya viboko hadharani na clip yako kuanza kuzunguka ktk mitandao ya kijamii ndipo utakapofunguka macho.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Kawaida yenu kujichekesha kiumbeya mnaona jf mmefiiika pa kusemea na mmnakomoa eti kwa jumbe zenu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa mujibu hiyo tuzo kiongozi anayetakiwa kupigiwa kura anatakiwa awe na sifa gani?
Ngoja nami nikampigie.Nimempigia kura 10 huyo Nana Akufo
Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!
Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Wacha tumpigie Jiwe tu,Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Unapigaje nduguNaona wameshaweka mfumo wao ukipiga mara moja huwezi kurudia tena. Nadhani wanarekodi IP address
UchocheziHiyo takwimu ya karibu masaa 24 yakiyopita. Cheki hii ya karibu masaa mawili yaliyopita:View attachment 1666687
Hiyo takwimu ya karibu masaa 24 yakiyopita. Cheki hii ya karibu masaa mawili yaliyopita:View attachment 1666687
Mnazionea v8Hii ya kitambo sana kura za jpm zimepanda kama v-8 kwenye rami
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nana addo si ndo amejiongezea muhula wa kugombea Ghana?Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Acha kulalama, ukweli haukanushwi kwa povu, bali ni kwa kukubaliana nao ili upate amani moyoni mwako.Wewe umefunguka macho?
Au kulalamika mitandaoni mnakofanya ndiyo kufunguka macho?....
Ngoja nikamuongezee huyo wa kwanzaHiyo takwimu ya karibu masaa 24 yakiyopita. Cheki hii ya karibu masaa mawili yaliyopita:View attachment 1666687
Cdm wameingiaJe humu ?!