Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Hakuna kitu chochote zaidi ya kuwa mnaongozwa na chuki.
 
Mnazionea v8
Bado sita magroup ya uvccm yameamka hata vpn itatumika maana hakuna namna cha msingi ushindi tena wa kishindo kabra ya tarehe 8 watakuwa ameshaelewa mchezo sisi ndio wachinjaji
 
liwe fundisho kuwa Mitandao inasaidia kila kitu na kupata ukweli
sasa Utawala unabana kila kona, kuna siku Malaika watashuka huku TCRA imebana Twitter na mtandao km hii, kwanini mtu usiende kujisaidia choo cha jirani?
View attachment 1666703
Hii ya zamani kwa sasa Tanzania imeamka watakoma sasa
 
Wewe mbona unatudanganya wakati kule ameshindwa haongozi kama unavyosema?msemakweli mpenzi wa Mungu
 
Wewe mbona unatudanganya wakati kule ameshindwa haongozi kama unavyosema?msemakweli mpenzi wa Mungu
Utakuwa umevurugwa hizi asilimia zinapanda na kushuka
 
Nana addo si ndo amejiongezea muhula wa kugombea Ghana?
Hapana

Rais Nana Akufo Addo, wa Ghana ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa kupata asilimia 51.6 ya Kura, dhidi mpinzani wake wa karibu, Rais wa Zamani wa taifa hilo, John Mahama aliyepata asilimia 47.4 ya kura zote.

Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya Uchaguzi Ghana, Jena Mensa, ndiye aliyetangaza matokeo mjini Accra

Rais Akufo Addo ametetea nafasi yake hiyo,dhidi ya mpinzani wake huyo ambaye tangu awali alionyesha wasiwasi wake wa kutumika kwa nguvu ya Jeshi kwenye uchaguzi huo.

Bwana Mahama amelalamikia wizi wa kura. Akiongea muda mfupi baada ya tangazo hilo, Rais Akufo Addo amewashukuru raia kwa kumchagua.

"Nimeguswa tena sana na kuaminiwa nanyi na sichukulii hili kuwa jambo dogo...labda ipo tabia ya kuwa rais aliyepo madarakani akichaguliwa tena muhula wa pili anachukulia hilo kiurahisi na kuanza kupumzika ...lakini mimi ni wa tofauti.

Ninawashukuru sana , Waghana wenzangu kwa ushindi huu".

Ingawa Mahama hajakubaliana na matokeo hayo.

Hii ni mara ya pili kwa wapinzani hawa wa kisaiasa kukabiliana katika uchaguzi mkuu wa rais.

Ghana inasifika kuwa taifa lenye demokrasia barani Afrika.

Matokeo ya wabunge hayajatangazwa bado lakini yanatarajiwa kukaribiana pia.

Awali polisi walisema kulikuwa na kesi 21 wakati wa uchaguzi huo zinazohusiana na ghasia tangu Jumatatu, huku watu watano wakiwa wamefariki

Huu ni uchaguzi wanane wa urais tangu katiba ilivyoandikwa mwaka 1992.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ata mpinzani wa Akufo alikataa matokeo kwasababu anahisi aliibiwa kura..!! Alafu kukikuwa na machafuko hapo Ghana kabla ya uchaguzi na watu kadhaa walikufa na kesi 21 zikiwa mahakani zinahusu uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok..
Subiri uchaguzi 2025 utawambia wananchi kwenye kampeni eeeeh, sawa mkuu!
 

Unaona wanauliwa hata picha ya ushahidi hukupiga sasa tukusaidiaje??
 
Vijan wa lumumba washaMpa ushirikiaNo
 
Ni kweli mkuu.
Hata Nyerere ni maarufu, Mandela ni maarufu, Hitler ni maarufu, Desmond Tutu ni maarufu, Mobutu Seseko ni maarufu, Darwin ni maarufu, Da Vinci ni maarufu, Chinua Achebe ni maarufu, na kadhalika, na kadhalika.
Swali: Umaarufu kwa lipi?
Najua akili yakoalishaondoka nayo Lissu
 
Tunampigia kila baada ya dakika 5 , ushindi ni lazima. Magufuli the best leader !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…