Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
Hapo kuna chuki gani sasa?SIIONI HIYO CHUKI UNAYOISEMA, swali BABA YAKO ANA NG'OMBE? useme tu anazo wakati hana kisa ni baba yako utakuwa mpuuzi basi. watu wanapiga kura kujibu swali kama mtu anazo sifa ukakataa bila sababu hapo ni kitu tofauti.Hakuna kitu chochote zaidi ya kuwa mnaongozwa na chuki.
Bado kidogo tuone uhalisia, 39%.Naona asilimia anazopata ndizo zile alipata kwa election 2020
Muulize Mahera ana majibu.Sasa tuko Tanzania tutawezaje kupigia mghana?
(i). Sifa za washindani wake zimetajwa wapi?
(ii). Kwa nini hawakutafuta njia nyingine ya kuwapigia na wahusika wakawa na T.o.R
Ukiwa na akili timamu huwezi kumpigia mwizi wa kura kuwa best ila kama una mapungufu kisaikolojia utaunga upuuzi huo.Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Ni kweli, kwa kigezo Cha demokrasia kumpa jiwe ni kutoitendea haki taifa na afrika, wangeweka kwa kigezo Cha uchapakazi ningempa jiwe Sio demokrasiaUkiwa na akili timamu huwezi kumpigia mwizi wa kura kuwa best ila kama una mapungufu kisaikolojia utaunga upuuzi huo.
Mimi mwenyewe nimempigia Nana kwa kawaida sio mnafkiNaona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikamuongezee huyo wa kwanza
Sasa huyu Nana uchaguzi ulipita mpinzani wake alimtuhumu amemuibia kura alafu katika kipindi cha uchaguzi Ghana ilikumbwa na machafuko kias kupelekea raia wa5 kufariki dunia na kesi takribani 20+ zinahusu uchaguzi zikifunguliwa...!! Sijui why Nana na si Ramaphosa?Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
Sizitaki mbichi hizi.Magufuli hakupata urais kwaajili ya kushindanishwa na marais wengine ashinde asishinde haimuondolei urais wake wa Tanzania hata akishinda huyo Ado sisi haitusaidii.
Marais wangapi wa afrika wameshinda tuzo kibao na bado hawajawasaidia wananchi wao?
Hata akishinda ado haibadilishi matokeo ya uchaguzi uliopita ngoma iko palepale chuma kikolimoto.
Mtachakaa awamu hii kwa kweli
Baada ya hapo nini kinafuata? Lisu anatangazwa rais?
Kura nyingi kwake tafadhali, usiniangushe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kimeo kwani umeambiwa hizi kura za Urais? Yaani huko CCM yamejaa mapooza tupu ndiyo maana mkulu anachagua majembe toka Chadema na kuwaacha nyie vimeo mkisugua bench hapo LumumbaBaada ya hapo nini kinafuata? Lisu anatangazwa rais?
Aahh kabisa aisee! Tena sijui imekuwaje kawa wa pili!