Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Hakuna kitu chochote zaidi ya kuwa mnaongozwa na chuki.
Hapo kuna chuki gani sasa?SIIONI HIYO CHUKI UNAYOISEMA, swali BABA YAKO ANA NG'OMBE? useme tu anazo wakati hana kisa ni baba yako utakuwa mpuuzi basi. watu wanapiga kura kujibu swali kama mtu anazo sifa ukakataa bila sababu hapo ni kitu tofauti.
 
Sasa tuko Tanzania tutawezaje kupigia mghana?
(i). Sifa za washindani wake zimetajwa wapi?
(ii). Kwa nini hawakutafuta njia nyingine ya kuwapigia na wahusika wakawa na T.o.R
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.

Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Ukiwa na akili timamu huwezi kumpigia mwizi wa kura kuwa best ila kama una mapungufu kisaikolojia utaunga upuuzi huo.
 
Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
Mimi mwenyewe nimempigia Nana kwa kawaida sio mnafki
Nana ni mwanademokrasia wa kweli in the list
 
Attachments

  • IMG_20210104_104858_7.jpg
    IMG_20210104_104858_7.jpg
    242.3 KB · Views: 1
Wezi wale walipokuja kuiba walinyofoa waya wa simu, wakakata umeme, mbaya zaidi wakakata hadi bomba la maji! Kisha wakakomba kilakitu ndani ya nyumba kasoro kimfuko cha chumvi ambacho tunakiweka juu ya dirisha, wezi wale balaa.
 
Nataka nami nipige kura au mimeshachelewa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli hakupata urais kwaajili ya kushindanishwa na marais wengine ashinde asishinde haimuondolei urais wake wa Tanzania hata akishinda huyo Ado sisi haitusaidii.

Marais wangapi wa afrika wameshinda tuzo kibao na bado hawajawasaidia wananchi wao?

Hata akishinda ado haibadilishi matokeo ya uchaguzi uliopita ngoma iko palepale chuma kikolimoto.

Mtachakaa awamu hii kwa kweli
 
Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
Sasa huyu Nana uchaguzi ulipita mpinzani wake alimtuhumu amemuibia kura alafu katika kipindi cha uchaguzi Ghana ilikumbwa na machafuko kias kupelekea raia wa5 kufariki dunia na kesi takribani 20+ zinahusu uchaguzi zikifunguliwa...!! Sijui why Nana na si Ramaphosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hakupata urais kwaajili ya kushindanishwa na marais wengine ashinde asishinde haimuondolei urais wake wa Tanzania hata akishinda huyo Ado sisi haitusaidii.

Marais wangapi wa afrika wameshinda tuzo kibao na bado hawajawasaidia wananchi wao?

Hata akishinda ado haibadilishi matokeo ya uchaguzi uliopita ngoma iko palepale chuma kikolimoto.

Mtachakaa awamu hii kwa kweli
Sizitaki mbichi hizi.
 
Back
Top Bottom