Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
Ilitakiwa asiwemo kabisa kwenye mchuano, sema tu Africa bado tuna hali mbaya sana ktk utawala bora hadi Magufuli anakuwa considered.Aahh kabisa aisee! Tena sijui imekuwaje kawa wa pili!
Yaani kwamba kamshinda hadi Ramaphosa! Ilitakiwa awe wa mwisho!
Hata Mchungaji Msigwa na yeye anahirizi.Are you serious? Mvaa hirizi huyo ndio ana Imani kwa Mungu? Siasa na dini havikai pamoja na huo ni ukweli mchungu.
Kiongozi umesema vyema kinachofuata ni utekelezaji tu! Asante sana.Wana Bodi Nawasalimu ....
Nina Muda Mrefu Sana Kama Mkongwe Humu Jamvini Takribani Miaka Saba Sijaingia Humu Nikipambana Jimbo La Meru Lirudi Ccm Leo Imenibidi Niingie Kwa Hili Nyambo Nyeti Sana La Kupiga Kura Kwa Maraisi Watatu Africa Bora Katika Demokrasia Na Mojawapo Aliyeingia Ni Rais MAGUFULI Ambaye Kila Mtanzania Mzalendo Anajua Kazi Nzuri Alizofanya Kwa Miaka Mitano Iliyopita...
Waliomuweka wanaona mbali sana, kwa kuwa ana vigezo ndiyo maana kaingia kwenye kinyang'anyiro!Ilitakiwa asiwemo kabisa kwenye mchuano, sema tu Africa bado tuna hali mbaya sana ktk utawala bora hadi Magufuli anakuwa considered.
Unapata tabu sana, unateseka mno, ebu kula ndimu ushushie na maji ya baridi ulale.Acha ujinga!
Mmekomaa eti tumachague wa Ghana! So mkimchagua wa Ghana Magu hawi rais kwa chuki zenu?....
Najua ujumbe kama huu unakuuma sana maana wewe ni moja ya wanaofanya ujinga badala ya kuwa busy na mambo ya maana.Unapata tabu sana, unateseka mno, ebu kula ndimu ushushie na maji ya baridi ulale.
Mambo ya maana ni kumpigia kura dikteta kura au?Najua ujumbe kama huu unakuuma sana maana wewe ni moja ya wanaofanya ujinga badala ya kuwa busy na mambo ya maana.
Usimpigie kura mkuu hamounguzii chochote!Mambo ya maana ni kumpigia kura dikteta kura au?
Utapata tabu sana.
Hatumpi ng'ooWana Bodi Nawasalimu ...
Wewe subiri Mbowe awe rais ndo utapiga kura.Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!
Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Kwenye vigezo kuna "Demokrasia" hili litampunguzia kura.Kwenye kujenga miundo mbini 98%Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Wabadiri utaratibu nchi anayotoka mgombea isiruhusiwe kumpigia,hii nayo inahitaji flash lamp?Inaweza kuwa kweli; wabongo kupiga kura za mtandano hawajambo sana, ndiyo maana wasanii wa Tanzania wakigombea tuzo kwa kupigiwa kura mtandaoni huwa wanapata. Kuna wakati BET walilazimika kuzima system kwa kuwa overloaded na kura za watanzania kwa Diamond.
Maria Sarungi na timu yake hawatoki kwenye keyboard
tehe tehe kwa hiyo kuna wenye mamlaka ya kucharaza bakora wenzao kama wakikosea??Wewe umefunguka macho?
Au kulalamika mitandaoni mnakofanya ndiyo kufunguka macho?....
mimi nipo Ghana saivi wananchi wake wanalalamika balaa.Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.