Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa

Inaweza kuwa kweli; wabongo kupiga kura za mtandano hawajambo sana, ndiyo maana wasanii wa Tanzania wakigombea tuzo kwa kupigiwa kura mtandaoni huwa wanapata. Kuna wakati BET walilazimika kuzima system kwa kuwa overloaded na kura za watanzania kwa Diamond.

Maria Sarungi na timu yake hawatoki kwenye keyboard
 
Wana Bodi Nawasalimu.

Nina Muda Mrefu Sana Kama Mkongwe Humu Jamvini Takribani Miaka Saba Sijaingia Humu Nikipambana Jimbo La Meru Lirudi Ccm Leo Imenibidi Niingie Kwa Hili Nyambo Nyeti Sana La Kupiga Kura Kwa Maraisi Watatu Africa Bora Katika Demokrasia Na Mojawapo Aliyeingia Ni Rais MAGUFULI Ambaye Kila Mtanzania Mzalendo Anajua Kazi Nzuri Alizofanya Kwa Miaka Mitano Iliyopita.

Ninawaombe Sana Wanatanzania Wetu Kwa UMOJA Wetu Tushikamane Kwa Pamoja KUMPIGIA KURA Kwa Wingi Rais Mnyenyekevu Na Mzalendo Kabisa Kutokea John Pombe MAGUFULI hili Ni Letu Sote Halina Uchama Wala Udini , Wapo Baadhi Ya Watu Hususani Wanachama Wa Chadema Wanaendesha Kampeni Chafu Dhidi Ya Rais MAGUFULI Asipigiwe Kura Za Kutosha Wakiongozwa Na Kima Mmoja Anaitwa Kigogo2014 Hawa Watu Ni Wa Kuupuzwa Ni Watu Wenye Chuki Binafsi Na Rais Wetu Mpendwa .

Watanzania Ni Wakati Wa Kumpa Raha Rais MAGUFULI Kwa KUMPIGIA KURA Za Kutosha Kuwa The Best Political AFRICAN Leader Of The Year 2021.

Naomba Kuwasilisha.
 
Aahh kabisa aisee! Tena sijui imekuwaje kawa wa pili!

Yaani kwamba kamshinda hadi Ramaphosa! Ilitakiwa awe wa mwisho!
Ilitakiwa asiwemo kabisa kwenye mchuano, sema tu Africa bado tuna hali mbaya sana ktk utawala bora hadi Magufuli anakuwa considered.
 
Are you serious? Mvaa hirizi huyo ndio ana Imani kwa Mungu? Siasa na dini havikai pamoja na huo ni ukweli mchungu.
Hata Mchungaji Msigwa na yeye anahirizi.
Au kwake ni sawa cause ni mpinzani.
 
Wana Bodi Nawasalimu ....

Nina Muda Mrefu Sana Kama Mkongwe Humu Jamvini Takribani Miaka Saba Sijaingia Humu Nikipambana Jimbo La Meru Lirudi Ccm Leo Imenibidi Niingie Kwa Hili Nyambo Nyeti Sana La Kupiga Kura Kwa Maraisi Watatu Africa Bora Katika Demokrasia Na Mojawapo Aliyeingia Ni Rais MAGUFULI Ambaye Kila Mtanzania Mzalendo Anajua Kazi Nzuri Alizofanya Kwa Miaka Mitano Iliyopita...
Kiongozi umesema vyema kinachofuata ni utekelezaji tu! Asante sana.
 
Ilitakiwa asiwemo kabisa kwenye mchuano, sema tu Africa bado tuna hali mbaya sana ktk utawala bora hadi Magufuli anakuwa considered.
Waliomuweka wanaona mbali sana, kwa kuwa ana vigezo ndiyo maana kaingia kwenye kinyang'anyiro!
 
Acha ujinga!

Mmekomaa eti tumachague wa Ghana! So mkimchagua wa Ghana Magu hawi rais kwa chuki zenu?....
Unapata tabu sana, unateseka mno, ebu kula ndimu ushushie na maji ya baridi ulale.
 
Unapata tabu sana, unateseka mno, ebu kula ndimu ushushie na maji ya baridi ulale.
Najua ujumbe kama huu unakuuma sana maana wewe ni moja ya wanaofanya ujinga badala ya kuwa busy na mambo ya maana.
 
Najua ujumbe kama huu unakuuma sana maana wewe ni moja ya wanaofanya ujinga badala ya kuwa busy na mambo ya maana.
Mambo ya maana ni kumpigia kura dikteta kura au?
Utapata tabu sana.
 
Mambo ya maana ni kumpigia kura dikteta kura au?
Utapata tabu sana.
Usimpigie kura mkuu hamounguzii chochote!

Zaidi zaidi huu muda mnaopoteza kushadadia ujinga mtaukumbuka ikifika mwezi wa 10 mwka 2025 kwamba kumbe mlikuwa mnafanya ujinga badala ya mambo ya maana.

Sisi ccm tunawategea tu 2025 mtokeza mabichwa yenu tuwagonge
 
Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!

Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Wewe subiri Mbowe awe rais ndo utapiga kura.
 
Inaweza kuwa kweli; wabongo kupiga kura za mtandano hawajambo sana, ndiyo maana wasanii wa Tanzania wakigombea tuzo kwa kupigiwa kura mtandaoni huwa wanapata. Kuna wakati BET walilazimika kuzima system kwa kuwa overloaded na kura za watanzania kwa Diamond.

Maria Sarungi na timu yake hawatoki kwenye keyboard
Wabadiri utaratibu nchi anayotoka mgombea isiruhusiwe kumpigia,hii nayo inahitaji flash lamp?
 
Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
mimi nipo Ghana saivi wananchi wake wanalalamika balaa.
 
Hadi muda wa saa tisa na dakika 54:
1609764802606.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom