Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Naona wabongo washapindua meza. Yani hizo kura sa Nana utakuta nyingi zinatoka Tanzania. Hata waandaaji watashangaa
Inaweza kuwa kweli; wabongo kupiga kura za mtandano hawajambo sana, ndiyo maana wasanii wa Tanzania wakigombea tuzo kwa kupigiwa kura mtandaoni huwa wanapata. Kuna wakati BET walilazimika kuzima system kwa kuwa overloaded na kura za watanzania kwa Diamond.
Maria Sarungi na timu yake hawatoki kwenye keyboard