Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwangu wangeweka rais mchapakazi ningempa jpm, Ila swala la kukuza demokrasia magu Nampa -15%
 
Ukishataja Azori na Saa 8,vijana wa buku 7 wanakosa raha kabisa.
Wanajua hiyo laana inatembea nao,na itawamaliza asilani.Fikiria 2025.
 
Where are you tracing the voting data?

As for to day the fifth of January 2022, Nana Akufo is ahead of Magufuli Pombe for almost 10%...

And for five consecutive days Pombe Magufuli has never surpassed Nana...!!
Mkuu,

Are you ahead of us by one year? (January 2022)? You must be kidding!!!

What I said is that in earlier days when the voting started JPM was leading by a close up gap, but as days rolled by the count down reversed in favour of Nana. However, as of today the 5th January 2021 Nana was gradually losing some percentage from 55.48% down to 55.08% whilst JPM slightly gained momentum from 43.42% to 43.67% that is what I meant.
 
kama wamedhib
Naona wameshaweka mfumo wao ukipiga mara moja huwezi kurudia tena. Nadhani wanarekodi IP address
kama wamethibiti hivyo akishinda mje mniteke tena mlitume lili genge la Sabaya la pale Arusha wabieni mi nko nyumbani kwangu apa Useri Rombo
 

Na nikusaidie tu kwa kusema kuwa, ni tabia ya binadamu yeyote kupenda kuwa "recognized"...

Hapa siyo ishu ya Urais wake na hakuna mwenye shida na Urais wake wa kujishindisha kwa nguvu...

This AWARD is ALL about uongozi na watu. It's about people's leadership...

On the other hand, Magufuli ni binadamu. I am sure itamtia moyo sana iwapo atajua kuwa kumbe kuna watu wanatambua (recognize) mchango wa uongozi wake...

Lakini, it's very unfortunately few hypocrites recognize him as the best leader while he's not...

For sure kabisa, Pombe hastahili kupata tuzo hiyo kwa sbb by all measurements huyu si kiongozi, hana sifa, hafai, ana uongozi wa kimabavu usiozingatia sheria na katiba ya nchi...

Hastahili. Abaki na Urais wake. Amalize tu na kisha asubiri adhabu yake ktk platforms zingine huko...

So basically, hakuna mwenye shida ya kumnyan'anya huo Urais wake. Lakini hata hivyo tangu lini shetani akaiacha roho ya mijisifa, kujiinua na kujiona ni bora pengine hata zaidi ya Mungu muumba...?

Unajishibedua tu ndugu. You want him to win this award ili muanze kupanua midomo yenu. Maneno yako haya ni kwa sababu ya desperation tu....
 
VOTING UPDATES AS FOR NOW 22HRS


Nana Akufo = 55%

Pombe Magufuli = 44%

I am sure, MATAGA wanahaha namna ya kupenyeza kura za mabegi na sandarusi kumshindisha mungu wao...

Unfortunately, this is impossible...!!
 
Kiukweli kwenye huu uzi umeteseka sana!Maana ulivyochangia mwanzo na kadri muda ulivyozidi ni tofauti kabisa!Kiufupi umekata tamaa na kuamua kusema "za nini mbichi hizo"?
Pole sana,huu mchezo hauhitaji hasira!Kunywa maji ulale kijana!
 
Swala siyo kumnyanganya urais wake bali chuki zenu binafsi i.e mnamsema vibaya acheni kura ziamue basi
 
Hii inaitwa ukishindwa kumpiga adui yako basi angalau mtukane
 
Wacha nimpigie Rais wangu amefanya mambo makuu! Ktk kuleta ustawi kwetu wa Tanzania. Viva for ever jpm.
 
Wanaccm msiwe na mashaka mambo ni bambam sasa!
Baada ya kufanikiwa kumpeleka Mahera kwenye tume ya kuhesabu kura za mshindi amefanikiwa kubadili matokeo na sasa yanasomeka kama hivi!
 
Kiukweli kwenye huu uzi umeteseka sana!Maana ulivyochangia mwanzo na kadri muda ulivyozidi ni tofauti kabisa!Kiufupi umekata tamaa na kuamua kusema "za nini mbichi hizo"?
Pole sana,huu mchezo hauhitaji hasira!Kunywa maji ulale kijana!
Yani niteseke kisa magu anashika nafasi ya 2?

Na wasouth na senegal wafanyaje sasa?

MAGU yuko Ikulu, huo upigaji kura hasara zake ni zipi asipopata nafasi ya kwanza?

Naona unasema wabongo ndio wanamuangusha, ina maana unakubali ile hoja yenu kwamba dunia inajua tz hakuna democrasia ni dhaifu?
 
Hahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?

Magufuli hata asiposhika nafasi ya kwanza lakini ile kuwabwaga hadi south ni promo tosha kwake.
 
Wabongo ndio wamepindua meza!Kama watanzania wasingeruhusiwa kupiga kura,huenda matokeo yangekuwa tofauti na yalivyo!
Kwahiyo unaamini sasa kwamba dunia inamjua Magu kwamba ni mwanademocrasia tofauti na kelele zenu za mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…