LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwangu wangeweka rais mchapakazi ningempa jpm, Ila swala la kukuza demokrasia magu Nampa -15%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishataja Azori na Saa 8,vijana wa buku 7 wanakosa raha kabisa.Nonsense, akina Azori na Saanane wako wapi, tuambiwe kwanza ndio tupige hiyo kura.
Halafu vigezo gani vinatumika katika hili swala hadi Magufuli apigiwe kura katika maswala ya demokrasia wakati yeye anakiri wazi kabisa kwamba haamini ktk demokrasia.
Majuzi tu amekataa uchaguzi hadi akafanya mapinduzi na akatangazwa mshindi na wabunge na madiwani wake kwa mitutu ya bunduki sasa huyu ndiye anapigiwa kura ya demokrasia!! Mimi siwezi kabisa kumpigia kura nitampigia Nana Akufo Addo. Period.
Mkuu,Where are you tracing the voting data?
As for to day the fifth of January 2022, Nana Akufo is ahead of Magufuli Pombe for almost 10%...
And for five consecutive days Pombe Magufuli has never surpassed Nana...!!
kama wamethibiti hivyo akishinda mje mniteke tena mlitume lili genge la Sabaya la pale Arusha wabieni mi nko nyumbani kwangu apa Useri RomboNaona wameshaweka mfumo wao ukipiga mara moja huwezi kurudia tena. Nadhani wanarekodi IP address
Magufuli hakupata urais kwaajili ya kushindanishwa na marais wengine ashinde asishinde haimuondolei urais wake wa Tanzania hata akishinda huyo Ado sisi haitusaidii.
Marais wangapi wa afrika wameshinda tuzo kibao na bado hawajawasaidia wananchi wao?
Hata akishinda ado haibadilishi matokeo ya uchaguzi uliopita ngoma iko palepale chuma kikolimoto.
Mtachakaa awamu hii kwa kweli
Gap ya 11%!!VOTING UPDATES AS FOR NOW 22HRS
Nana Akufo = 55%
Pombe Magufuli = 44%
Kiukweli kwenye huu uzi umeteseka sana!Maana ulivyochangia mwanzo na kadri muda ulivyozidi ni tofauti kabisa!Kiufupi umekata tamaa na kuamua kusema "za nini mbichi hizo"?Nioneshe coment yangu hata moja nliyosema tumpigie JPM kura hata mara 2!
Nyie mnafikiri kwa ujinga wenu huu hapo Magu anapungukiwa nini?
Kwanza hapo akishika nafasi ya pili promo tosha kwake maana atakuwa kawapita wa south na senegal.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nlishauri toka mwanzo kwamba badala ya kuhangaika na huuujinga wenu mngetumia huumuda kudai katiba itakayounda tume huru ya uchaguzi.
Lakini kwakuwa nyie ni mbumbumbu mambo haya mtayakumbuka ikifika oktoba 2025.
Wabongo ndio wamepindua meza!Kama watanzania wasingeruhusiwa kupiga kura,huenda matokeo yangekuwa tofauti na yalivyo!Mbona kama Ghana wameshatupiga bao? Tutaweza kupindua meza kweli kwa muda uliobaki?
Lissu na Magufuli ni Sawa na barabara ya vumbi na lamiMnaanza kukiri wenyewe kuwa zile 85% zilikuwa za Lissu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Swala siyo kumnyanganya urais wake bali chuki zenu binafsi i.e mnamsema vibaya acheni kura ziamue basiNa nikusaidie tu kwa kusema kuwa, ni tabia ya binadamu yeyote kupenda kuwa "recognized"...
Hapa siyo ishu ya Urais wake na hakuna mwenye shida na Urais wake wa kujishindisha kwa nguvu...
This AWARD is ALL about uongozi na watu. It's about people's leadership...
On the other hand, Magufuli ni binadamu. I am sure itamtia moyo sana iwapo atajua kuwa kumbe kuna watu wanatambua (recognize) mchango wa uongozi wake...
Lakini, it's very unfortunately few hypocrites recognize him as the best leader while he's not...
For sure kabisa, Pombe hastahili kupata tuzo hiyo kwa sbb by all measurements huyu si kiongozi, hana sifa, hafai, ana uongozi wa kimabavu usiozingatia sheria na katiba ya nchi...
Hastahili. Abaki na Urais wake. Amalize tu na kisha asubiri adhabu yake ktk platforms zingine huko...
So basically, hakuna mwenye shida ya kumnyan'anya huo Urais wake. Lakini hata hivyo tangu lini shetani akaiacha roho ya mijisifa, kujiinua na kujiona ni bora pengine hata zaidi ya Mungu muumba...?
Unajishibedua tu ndugu. You want him to win this award ili muanze kupanua midomo yenu. Maneno yako haya ni kwa sababu ya desperation tu....
Yani niteseke kisa magu anashika nafasi ya 2?Kiukweli kwenye huu uzi umeteseka sana!Maana ulivyochangia mwanzo na kadri muda ulivyozidi ni tofauti kabisa!Kiufupi umekata tamaa na kuamua kusema "za nini mbichi hizo"?
Pole sana,huu mchezo hauhitaji hasira!Kunywa maji ulale kijana!
Hahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?Na nikusaidie tu kwa kusema kuwa, ni tabia ya binadamu yeyote kupenda kuwa "recognized"...
Hapa siyo ishu ya Urais wake na hakuna mwenye shida na Urais wake wa kujishindisha kwa nguvu...
This AWARD is ALL about uongozi na watu. It's about people's leadership...
On the other hand, Magufuli ni binadamu. I am sure itamtia moyo sana iwapo atajua kuwa kumbe kuna watu wanatambua (recognize) mchango wa uongozi wake...
Lakini, it's very unfortunately few hypocrites recognize him as the best leader while he's not...
For sure kabisa, Pombe hastahili kupata tuzo hiyo kwa sbb by all measurements huyu si kiongozi, hana sifa, hafai, ana uongozi wa kimabavu usiozingatia sheria na katiba ya nchi...
Hastahili. Abaki na Urais wake. Amalize tu na kisha asubiri adhabu yake ktk platforms zingine huko...
So basically, hakuna mwenye shida ya kumnyan'anya huo Urais wake. Lakini hata hivyo tangu lini shetani akaiacha roho ya mijisifa, kujiinua na kujiona ni bora pengine hata zaidi ya Mungu muumba...?
Unajishibedua tu ndugu. You want him to win this award ili muanze kupanua midomo yenu. Maneno yako haya ni kwa sababu ya desperation tu....
Kwahiyo unaamini sasa kwamba dunia inamjua Magu kwamba ni mwanademocrasia tofauti na kelele zenu za mitandaoni?Wabongo ndio wamepindua meza!Kama watanzania wasingeruhusiwa kupiga kura,huenda matokeo yangekuwa tofauti na yalivyo!
Duh yaani hata hyo nafasi ya pili sijui jpm kaipataje, sielewi....kukuza demokrasia duh