LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Nje ya kina mahera usijidanganye mkuu, yako maeneo mpaka vijijini lissu na jpm walikuwa wanazidiana kura kati ya 10 mpaka 15 nje ya uchafuzi mkuuLissu na Magufuli ni Sawa na barabara ya vumbi na lami
Uchaguzi hata ungerudiwa Kesho, Lissu atabaki kuwa Lissu na Magufuli ataendelea kuwa Rais kama kawaida
Haahaa wabongo noma, nimecheka mpaka nimepaliwa...Wanaccm msiwe na mashaka mambo ni bambam sasa!
Baada ya kufanikiwa kumpeleka Mahera kwenye tume ya kuhesabu kura za mshindi amefanikiwa kubadili matokeo na sasa yanasomeka kama hivi!
View attachment 1669430
Dunia gani?Shobo tu za waafrica wenzetu wasiojua mambo yetu ya ndani!Watz tukaamua kuwaonesha kuwa huyu mtu hafai kabisa!Kwahiyo unaamini sasa kwamba dunia inamjua Magu kwamba ni mwanademocrasia tofauti na kelele zenu za mitandaoni?
Dunia gani wakati mbinyo wote tumeuona?Wapiga kura ni waafrica!Wengi wao hawajui yanayojiri Tz!Yani niteseke kisa magu anashika nafasi ya 2?
Na wasouth na senegal wafanyaje sasa?
MAGU yuko Ikulu, huo upigaji kura hasara zake ni zipi asipopata nafasi ya kwanza?
Naona unasema wabongo ndio wanamuangusha, ina maana unakubali ile hoja yenu kwamba dunia inajua tz hakuna democrasia ni dhaifu?
Sasa dunia unayosemaga inajua Magu ni dikteta ni ipi?Dunia gani wakati mbinyo wote tumeuona?Wapiga kura ni waafrica!Wengi wao hawajui yanayojiri Tz!
Na yule wa south na senegal nao wasemeje sasa?Dunia gani?Shobo tu za waafrica wenzetu wasiojua mambo yetu ya ndani!Watz tukaamua kuwaonesha kuwa huyu mtu hafai kabisa!
Mataifa ya Africa yako busy kujikwamua na umasikini wao!Ndio maana huoni wakifuatilia mambo ya nchi nyingine!Watu wanaotupa misaada huweka uangalizi wa masuala ya haki za binadamu na utawala bora kama masharti ya misaada yao!Hao wanaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayoendelea nchini!Mfano sasa kuna chanzo kipya cha mapato kupitia kwa DPP,watu wananunua uhuru wao baada ya kushindwa kuvumilia kukaa mahabusu wakisubiri upelelezi wa kesi zao kukamilika!Nchi za kiafrica hawajui haya mambo,lakini nje ya Africa yanafahamika sana!Ni kama wewe hapo,si rahisi mtu akikuuliza hapo ulipo nini kinaendelea Benin kwa sasa?So ikija suala la kupiga kura basi watu wa Benin wenyewe ndio watakaojua ya kwao zaidi kuliko wewe!Kura zilizomkataa Magufuli ni za Watanzania wenyewe!Sasa dunia unayosemaga inajua Magu ni dikteta ni ipi?
Wewe ndiye unayeteseka,sisi tunaangalia kura zinasemaje na nini tafsiri yake!Na yule wa south na senegal nao wasemeje sasa?
Mbona mnateseka sana?
Magu yupo hadi 2025 mtakapopokea kipigo kingine tena
Nireteeeni Mahera
Nireteeeeeeni Mahera
Nireteeeeeeeeeeeni Mahera
Nireteeeeeeeeeeeeeeeeeni Mahera
Ameshapotezwa mbali snHiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!
Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Jamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbiliHahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?
Magufuli hata asiposhika nafasi ya kwanza lakini ile kuwabwaga hadi south ni promo tosha kwake.
Kiukweli...kwa kukuza demokrasia hapana, Ila wangesema uchapakazi ningeunga mkonoJamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili
Ndio ameshindanishwa sasa tena kawabwaga kina Sauth Afrika, hutaki kanywe sumu ufe au kimbilia ubelgijiJamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili
Sasa kumbe unaumia kitu gani?Wewe ndiye unayeteseka,sisi tunaangalia kura zinasemaje na nini tafsiri yake!
Magu awepo au asiwepo hainipunguzii kitu,naendelea na maisha kama kawaida!
Bado uko kwenye fikra za kitumwa ndio maana hata mgombea wako aliona option ya kwanza ni kukimbilia kwa AmsterdamMataifa ya Africa yako busy kujikwamua na umasikini wao!Ndio maana huoni wakifuatilia mambo ya nchi nyingine!Watu wanaotupa misaada huweka uangalizi wa masuala ya haki za binadamu na utawala bora kama masharti ya misaada yao!Hao wanaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayoendelea nchini!Mfano sasa kuna chanzo kipya cha mapato kupitia kwa DPP,watu wananunua uhuru wao baada ya kushindwa kuvumilia kukaa mahabusu wakisubiri upelelezi wa kesi zao kukamilika!Nchi za kiafrica hawajui haya mambo,lakini nje ya Africa yanafahamika sana!Ni kama wewe hapo,si rahisi mtu akikuuliza hapo ulipo nini kinaendelea Benin kwa sasa?So ikija suala la kupiga kura basi watu wa Benin wenyewe ndio watakaojua ya kwao zaidi kuliko wewe!Kura zilizomkataa Magufuli ni za Watanzania wenyewe!
tatizO walioandaa shindano sio CHADEMA.Jamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili