Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Hatuna shida na hizo kura tuko bize tunafanya maendeleo..
Naongea uongo ndugu zanguu
Nasikia kuna magrup ya whatsap yameundwa kuhamasisha upigaji wa kura kwenye suala hili. Hebu yaongeze ushawishi tupindue meza kombe lije kwetu Tanzania
 
Nje ya kina mahera usijidanganye mkuu, yako maeneo mpaka vijijini lissu na jpm walikuwa wanazidiana kura kati ya 10 mpaka 15 nje ya uchafuzi mkuu
Mkuu!! Acha siasa!!
Nilichoandika ndicho, Lissu anapendwa na watu wa mitandaoni wasiojua kupiga Kura, waongo na wazushi ndio, eti walikuwa wanazidiana Kura 10/ wewe kama Nani mkuu!!
 
Bado uko kwenye fikra za kitumwa ndio maana hata mgombea wako aliona option ya kwanza ni kukimbilia kwa Amsterdam
Watanzania wamemuonesha jiwe kuwa hawakubaliani naye,kura zilizomkataa kwa asilimia kubwa ni za watanzania!Ndio maana kabla ya link kuwekwa hapa na huko twitter alikuwa anaongoza,wabongo walivyoanza kupiga kura tu,akashuka kwa mwendo wa fastjet!
Nitaweka poll hapa JF kati ya JPM na Akufo uone nani atagalagazwa na watanzania😁😁😁😁!
 
Hahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?

Magufuli hata asiposhika nafasi ya kwanza lakini ile kuwabwaga hadi south ni promo tosha kwake.
Pumzi imekata, mumebaki kujifariji.
 
Amefanikiwa kuuwa vyama vyoote vya upinzani.
 
Hata Lisu na Membe walifikiri kelele za twiter ndio zitawapa ushindi.

Kwa taarifa yako tu pamoja na kelele zenu zote mbona wamezidiana asilimia ndogo sana huku yule wa Saouth akiwa na 0.80%? Hii inakupa ujumbe gani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha manajifariji kweli yani
 
Hapa topic sio Lissu!Kikubwa watanzania wememuonesha jiwe kuwa hawakubaliani na aina ya utawala wake!
Sema nyie wajinga wachache hapo ufipa, usiseme watz! Usitusemee tafadhali.
 
Hata wana CCM wenye akili timamu wanajua kuwa mshindi alikuwa Lissu,ila wenye akili za kwendea chooni tu ndiyo wanabisha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kila aliyegombea aligombea ili ashinde lakini mshindi ni mmoja tuu na ni rais John Pombe Magufuli

Ndoto za Tundu kuwa rais ni sawasawa na zilivyokua ndoto za Kingwendu kuwa mbunge, walioshiriki wakitamani kudharauliwa ila kura zilizowachagua hazikutosha

Mimi naona tumshukuru tuu kwa kushiriki, au nasema uongo Crimea?
 
Mbona mi kila nikifika haifunguki au mnatumia vpn msionekane mnatoka TZ.View attachment 1669625View attachment 1669626
Mbona mi kila nikifika haifunguki au mnatumia vpn msionekane mnatoka TZ.View attachment 1669625View attachment 1669626
Yap, ukiwa na vpn inasaidia..

Mie ilinichukua zaidi ya saa nzima kufungua huo mtandao.

Inawezekana ccm wameupiga pini kwa sabb wanajua watz wengi siyo wanafiki, wanamchagua mwana demokrasia wa kweli, Nana Akufo-Addo
 
Vibwengo wa uvccm mlikuwa mnahamasishana mpige kura zaid ya moja hivi mlilenga nini hasa kwa jambo ambalo halikuwa na maana yoyote kwenu? Hii ndiyo kitaalamu tunaita sizitaki mbichi hizi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe ndio kibwengo sasa! Hivi unahangaikaje kumshusha mtu ambae tayari yuko juu yako?

Kwanza mpaka hapo Jpm tayari ni winner. Hivi Lisu angewashinda marais wa Saouth na Senegal?

Bavicha msihangaike kumshusha Magu, hangaikeni kutafuta namna ya kushinda 2025.!
 
Kwani hii kura ni ya Urais wa Tanzania? Kama ni hivyo mtumeni Jecha bingwa wa kupindua matokeo vinginevyo kaeni kimya maana naona mumeshapoteza mwelekeo ni kinapigiwa kura.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unajua kwamba malalamiko yenu yakikuwa ni juu ya tume huru?

Sasa huu muda unapoteza hapa kwanini usiwashauri na wale wajinga wenzio wa twiter muutumie kudai katiba mpya itakayounda tume huru ya uchaguzi? Au na 2025 mtakuja kulialia tena kama kawaida yenu kisha baada ya hapo mtaanza kuhangaika na ishu cheap kama hizi hadi 2030?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha kuweni na akili basi
 
Kura zilizoenda kwa Akufo ni ishara tosha kuwa wapiga kura wengi wa Tz wamemkataa jiwe!Wewe utakuwa kati ya kura chache zilizoenda kwa Jiwe,nazungumzia majority hapa!
Wamwzidiana 10% kwanini unajiaminisha kwamba hiyo 10% ni ya watz na siyo ya waghana wenyewe?

Ujunga mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…