Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Nasikia kuna magrup ya whatsap yameundwa kuhamasisha upigaji wa kura kwenye suala hili. Hebu yaongeze ushawishi tupindue meza kombe lije kwetu TanzaniaHatuna shida na hizo kura tuko bize tunafanya maendeleo..
Naongea uongo ndugu zanguu