Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Mkuu,

Two days past the voting trail was in Magufuli favour, however as from yesterday 4th January 2021 the voting count down clobbered Magufuli shifting to Nana Akufo from Ghana. Today 5th January 2021 the trend reversed by gradual droppage from Nana Akufo with voting garnering to Magufuli with slight percentage gain. The competion is so tense whereas dvelopment and democratic supporters are overwhelmingly challenging to each other........as who is who for what and why......the yeballs and ears are spread aprt to hear and see what is elevating the spirit in favour.

Where are you tracing the voting data?

As for to day the fifth of January 2021, Nana Akufo is ahead of Magufuli Pombe for almost 10%...

And for five consecutive days Pombe Magufuli has never surpassed Nana...!!
 
USSR pamoja na kuwa umekula ban jamaa yako anaporomoka kwa spidi ya roketi mama D atakufikishia ujumbe.

View attachment 1668666
WANAOMPIGIA MWENYE 43.5% ni mashetani kama wanayempigia
USSR pamoja na kuwa umekula ban jamaa yako anaporomoka kwa spidi ya roketi mama D atakufikishia ujumbe.

View attachment 1668666
USSR pamoja na kuwa umekula ban jamaa yako anaporomoka kwa spidi ya roketi mama D atakufikishia ujumbe.

View attachment 1668666
Wanayempigia mwenye 43% ni mashetani wenzake!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani anateseka sasa? Sisi tupo Ikulu nyie mpo kwa Amsterdam. Haya nani anateseka hapo
Hebu temea mate chini yaani wewe hapo uko Ikulu? Utasugua makalio hadi yaote sugu kupost utopolo tu, eti tupo Ikulu,are you serious? Anakujua nani wewe mlevi wa mataputapu?
FB_IMG_1597331519482.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Watanzania kumbe mkiwekewa tume huru ya uchaguzi mtafanya maajabu makubwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanzoni kiparaa aliongoza kwa kura za wageni, ila baada ya watizedi kujua wakabadilisha upepo kwa hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Lisu na Membe walifikiri kura zipo mitandaoni.

Hako kashindano kanampunguzia nini JPM?

na vipi kuhusu hao wanaopata 0%?
 
Nonsense, akina Azori na Saanane wako wapi, tuambiwe kwanza ndio tupige hiyo kura.

Halafu vigezo gani vinatumika katika hili swala hadi Magufuli apigiwe kura katika maswala ya demokrasia wakati yeye anakiri wazi kabisa kwamba haamini ktk demokrasia.

Majuzi tu amekataa uchaguzi hadi akafanya mapinduzi na akatangazwa mshindi na wabunge na madiwani wake kwa mitutu ya bunduki sasa huyu ndiye anapigiwa kura ya demokrasia!! Mimi siwezi kabisa kumpigia kura nitampigia Nana Akufo Addo. Period.
 
Kura ni hiyari ya mtu huwezi kumlazimisha mtu apige kura kwa matakwa yako, huo ni udikteta na ndio mliyozoea.
Endeleeni kumpa kura mghana vijana, Lisu anawategemea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Lisu na Membe walifikiri kura zipo mitandaoni.

Hako kashindano kanampunguzia nini JPM?

na vipi kuhusu hao wanaopata 0%?
Ona sasa ulivyo empty kichwani! Comments za mwanzo ulikuwa unapiga kelele hadi ukashauri tupige kura zaidi ya mara moja kwa magufuli.
Hapa baada ya kuangukia pua unabadili gia angani kama sio wewe... Au ulidhani mahera ndio msimamizi wa hizi kura?
Ujinga mwingi mpaka unatutia aibu kaka zako!
 
Nioneshe coment yangu hata moja nliyosema tumpigie JPM kura hata mara 2!

Nyie mnafikiri kwa ujinga wenu huu hapo Magu anapungukiwa nini?

Kwanza hapo akishika nafasi ya pili promo tosha kwake maana atakuwa kawapita wa south na senegal.

[emoji23][emoji23][emoji23]Nlishauri toka mwanzo kwamba badala ya kuhangaika na huuujinga wenu mngetumia huumuda kudai katiba itakayounda tume huru ya uchaguzi.

Lakini kwakuwa nyie ni mbumbumbu mambo haya mtayakumbuka ikifika oktoba 2025.
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.

Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1668303
THE WORST AFRICAN POLITICAL LEADER OF THE YEAR
 
Nioneshe coment yangu hata moja nliyosema tumpigie JPM kura hata mara 2!

Nyie mnafikiri kwa ujinga wenu huu hapo Magu anapungukiwa nini?

Kwanza hapo akishika nafasi ya pili promo tosha kwake maana atakuwa kawapita wa south na senegal.

[emoji23][emoji23][emoji23]Nlishauri toka mwanzo kwamba badala ya kuhangaika na huuujinga wenu mngetumia huumuda kudai katiba itakayounda tume huru ya uchaguzi.

Lakini kwakuwa nyie ni mbumbumbu mambo haya mtayakumbuka ikifika oktoba 2025.
Katiba na tume huru . Anadaiwa nani ?!. Hawa wanufaika !!
 
Back
Top Bottom