Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tanzania hatuna Rais tuna mtawala.Kwa hiyo hatutoboi kabisa?...kuweni wazalendo jamani angalau ionekane na sisi tumeongoza. Si mnajua Rais ndiyo taswira ya nchi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hatuna Rais tuna mtawala.Kwa hiyo hatutoboi kabisa?...kuweni wazalendo jamani angalau ionekane na sisi tumeongoza. Si mnajua Rais ndiyo taswira ya nchi??
Haka ndo kalitoka ACT kisa Zenji Maalim kakubali Umakamu Zenji eti kaungana na CCM. Kenyewe ndo kamerudi CCM huko huko. Halafu hapa kanasema Rais wa Ghana kafeli kwenye ajira,basi Magufuli ndo atakuwa kafa kabisa kwenye ajira.Kamepewa assignment kajamaa ya kuropoka ropoka ujinga pamoja na yeye mwenyewe kutoamini anachoropoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa mbona hueleweki?
Nimekuuliza unatakwimu zozote za kuonesha kwamba 95% wanaopiga kura ni watz na si wa ghana wala wasouth na senegal wala kenya?
Una takwimu?
Sasa kama ni gazeti uchwara una hangaika kupiga kura za nini wakati unajua ni nonsense?
Mbona maccm mnapenda wizi?...Hivi ukitaka upige zaidi ya mara moja unafanyaje? Tupeane maujanja
Wizi una raha yake ndugu...ukijua hautaacha maana unapata madaraka kirahisiii..ukizoea utapenda uendelee tuMbona maccm mnapenda wizi?
Piga mara moja tu inatosha
Siyo kura 12, bali ni 12% ambazo zitakuwa maelfu ya kura...Akufo Nanaa Keshatutangulia kwa kura 12.
Sio kwamba kawabwaga ila wasouth hawana na Habari na hizo tuzo za kiduanzi.Ndio ameshindanishwa sasa tena kawabwaga kina Sauth Afrika, hutaki kanywe sumu ufe au kimbilia ubelgiji
Hizo tuzo zenu nchi nyingine hazina habari nazo, hizo kura za huyo rais wenu na wa Ghana ni mataga na Bavicha wanashindana.Hata Lisu na Membe walifikiri kelele za twiter ndio zitawapa ushindi.
Kwa taarifa yako tu pamoja na kelele zenu zote mbona wamezidiana asilimia ndogo sana huku yule wa Saouth akiwa na 0.80%? Hii inakupa ujumbe gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha manajifariji kweli yani
Angalia asili mia za saa 12:39 za leo.Basi wana ccm ni wengi sana kumbe ee?
Maana nyie wapinzani wote mkisaidiana na wa Ghana mmempita Magu 10% tu
Nisipoacha?
Kwa kuua watu sawaRais Magufuli ni nuru ya bara la Afrika!
Usimfananishe Nana na mtu asieweza hata kuongea sentensi mbili za kiingereza.
Mtu ananuka damu za watu unamfananisha na Rais wa Ghana?
Hebu ona aibu kidogo.