Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Sikutaka kupiga kura, lakini kutokana na gap kuzidi kuongezeka nimepiga ili kupunguza gap.
 
Kamepewa assignment kajamaa ya kuropoka ropoka ujinga pamoja na yeye mwenyewe kutoamini anachoropoka.
Haka ndo kalitoka ACT kisa Zenji Maalim kakubali Umakamu Zenji eti kaungana na CCM. Kenyewe ndo kamerudi CCM huko huko. Halafu hapa kanasema Rais wa Ghana kafeli kwenye ajira,basi Magufuli ndo atakuwa kafa kabisa kwenye ajira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa mbona hueleweki?

Nimekuuliza unatakwimu zozote za kuonesha kwamba 95% wanaopiga kura ni watz na si wa ghana wala wasouth na senegal wala kenya?

Una takwimu?

Sasa kama ni gazeti uchwara una hangaika kupiga kura za nini wakati unajua ni nonsense?

Takwimu za nini, uhalisia unaonekana boss. Napiga kura maana si jambo gumu kihivyo. Upigaji wa hizi kura haupelekei watu kupata vilema au kupoteza maisha yao kama kwenye uchaguzi wa hapa nchini, hivyo sioni shida yoyote kupiga kura.
 
Ndio ameshindanishwa sasa tena kawabwaga kina Sauth Afrika, hutaki kanywe sumu ufe au kimbilia ubelgiji
Sio kwamba kawabwaga ila wasouth hawana na Habari na hizo tuzo za kiduanzi.
 
Hata Lisu na Membe walifikiri kelele za twiter ndio zitawapa ushindi.

Kwa taarifa yako tu pamoja na kelele zenu zote mbona wamezidiana asilimia ndogo sana huku yule wa Saouth akiwa na 0.80%? Hii inakupa ujumbe gani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha manajifariji kweli yani
Hizo tuzo zenu nchi nyingine hazina habari nazo, hizo kura za huyo rais wenu na wa Ghana ni mataga na Bavicha wanashindana.
 
Basi wana ccm ni wengi sana kumbe ee?

Maana nyie wapinzani wote mkisaidiana na wa Ghana mmempita Magu 10% tu
Angalia asili mia za saa 12:39 za leo.
Usisahau Magu alianza na 98% kaporomoka kiasi hicho na mtu alieanza nae akiwa na 2%.
Mmeumbwa kudanganyika haya sasa bado masaa tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20210106-183914_Chrome.jpg
    Screenshot_20210106-183914_Chrome.jpg
    63 KB · Views: 1
Kwa maelezo yako ulivyomkandia huyo mghnana naona kama vile mambo yake yanafanana na huyu wa kwetu labda hapo kwenye baraza la mawaziri sema cha msingi kama watanzania tukiamua basi hii tuzo Magu anachukua mapema tu.
 
Hvi ya baada ya zoezi la kura kuisha kutakuwa na sherehe za kukabidhiwa tunzo na kama zitakuwepo zitafanyika wapi?
 
Hivi kuna mahali Magufuli amesema anaitaka hii tuzo? Naona vijana wanapambana kuhamisha watu wampigie....
 
Usimfananishe Nana na mtu asieweza hata kuongea sentensi mbili za kiingereza.

Mtu ananuka damu za watu unamfananisha na Rais wa Ghana?

Hebu ona aibu kidogo.


Hapa ndio mnapopotoka. Kwani demokrasia ni kuongea kiingereza?
 
Umekuja na huku we mwanasiasa njaa njaaa..naona unautaka uteuzi kwa nguvu MWAKA HUU LAZIMA UCHUCHUMAE.

huku tutakupiga spana kama kule twitter
 
Back
Top Bottom