Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

Anamtegemea mkwewe atampa sapoti.!
Lijualikali asisahau hapo alipo sasa hv yupo juu kwa kupitia chadema asiitukane sn awe na maneno ya akiba kidogo. Asisahau anakotoka kugumu lkn asisahau anakoelekea pia kunaweza kukawa kugumu kuliko anavyofikiria
 
Ndugu makato yote yanahusu posho tu si mshahara,

Posho ya mbunge kwa siku ni kama laki mbili na nusu au laki tatu tu. Sasa 10% inayokatwa ni kama elfu ishirini tu.
 
Kifungu ulichokinukuu kwa kuweka mabano kinazungumzia kumsimamisha sio kumfukuza. Sasa kama nyinyi wenyewe viongozi hamuielewi katiba yenu Msajili atawasaidia kuielewa.
Katiba haisomwi na kutekelezwa kwa kifungu kimoja tu ndugu...
 
Mtunzi wa hekaya hodari ndani ya Chadema.

Bado ZITTO ametupa funzo kuu juu yenu.

Katolee kitabu sasa hii story.
 
Hooliganism ya KUB haihitaji mjadala?.
 
Ndugu makato yote yanahusu posho tu si mshahara,

Posho ya mbunge kwa siku ni kama laki mbili na nusu au laki tatu tu. Sasa 10% inayokatwa ni kama elfu ishirini tu.

Sawa sasa kwa nni mbunge wa kuchaguliwa awe na kiwango maarum na wa vit maarum pia awe na kiwango kamili, wakati kuna kipindi anaweza asipate posho kwa kuwa hakuhudhulia bunge hata kwa mweni mzima na zaidi?
 
Viti maalumu majukumu yake kibunge ni kachache kuliko mbunge wa jimbo, ndiomaana unaona asilimia ni kubwa, makato haya ni ya posho tu, hivyo usipopokea posho hata mwaka mzima hautakatwa....
 
Katiba haisomwi na kutekelezwa kwa kifungu kimoja tu ndugu...

Kwa hiyo katiba yenu ni feki, na ndio maana inakandamiza, kama kuna kanuni ndogo inayosema endapo mbunge hatakuwa na posho kwa mwezi basi kiasi hicho kikatwe kwenye mshahara basi pia mkiweke hapo tusome.
 
Wanajiamini katika maigizo wamefuzu madigrii.
Wanaamini watanzania nao wanapenda maigizo.
 
Katiba haisomwi na kutekelezwa kwa kifungu kimoja tu ndugu...
Wewe wadanganye mbumbumbu natural justice inataka mtu asikilizwe kabla ya kuhukumiwa na hii iko ndani ya katiba ya nchi na pia ndani ya katiba yenu wenyewe. Kama hamuheshimu/hamuielewi hata katiba yenu basi mna tatizo kubwa la kusolve kabla hata hamjafikiria kutwaa dola.

Chama chenu mlikijenga hadi kuwa chama kikubwa lakini mnakibomoa kwa kasi kwa kukubali kuburuzwa na mtu mmoja. Novemba 2020 kitakuwa kidogo kuliko kilivyokuwa mwaka 1995.
 
Umekuja kutetea upuuzi wa mbowe wa kupiga jasho la mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi tu . Ule utitiri wa watu kule mafichoni kwa mfalme wa wafalme unalipwa kwa pesa ya mfukoni y a mfalme au kodi ya wananchi!? Hizo gharama za ziada za mfalme kukaa nje ya makazi rasmi huo ni ufisadi.
 
Chama kimebomoka lakini bado kwenye chaguzi ccm anatumia tume, polisi na ujinga mwingine mwingi kuiba kura. Aisee uendawazimu hautakaa uishe Tanzania. Au ndio ile mnayosema maamuzi ya "ukichaa kichaa"?
 
Katika kila kituo cha kura mnaruhusiwa kuweka mawakala na pia baada yas kura kuhesabiwa matokeo yanasainiwa na mawakala na kubandikwa ukutani. Soma hayo matokeo na linganisha na nakala ya fomu aliyonayo wakala wako kabla hujalalamika.

Jifunze kufikiri critically unapoambiwa jambo badala ya kufuata mhemuko.
Fanya analysis kuanzia chaguzi za 1995 hadi 2015 relate kura za chama chako ngazi ya udiwani na ubunge nchi nzima kabla hujakariridhwa kuwa mnaibiwa kura.
 
Ungefunga tu hilo bakuli lako . Wewe ndiye unajua kufikiri critically? Mimi nakuona mwendawazimu tu kujaribu niaminisha ujinga kwenye uchaguzi ambao tume na watendaji wake ni wateule wa chama na hata wakurugenzi ambao mahakama ilishawatoa ndio wanatangaza matokeo. Tena wakurugenzi wenyewe walikuwa wagombea ndani ya ccm. Ujinga huu kawaambie wajinga wenzio. Eti mawakala? Mawakala hawa hawa mnaowazuia wasiingie vyumbani mpaka baadae wenzao wa ccm wako ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…