Kwanza Katiba ya Chadema itakuwa Ina mapungufu baadhi ya Vifungu Kuanzia Ukomo wa nafasi ya Mwenyekiti kuwe na muda wa kuongoza kama ni miaka Mitano au Miaka 10. Nafasi hiyo haida budi Kiongozi Muda wake kukoma na Kumuachia nafasi Mtu mwengine mwenye sifa Stahiki, Na mwenyekiti wa Chama angalau awe na elimu ya Shahada.
Kwa nini awe na Ukomo wa muda? Kulingana na Mwenyekiti wa Chama Kitaifa ni mtu mkubwa sana, Hapo kusiwe na siasa, Iwe Sifa kama ya Kumchagua Raisi wa Chama chake inabidi mkae chini upya mfanyie marekebisho baadhi ya vifungu, Sababu nyingine Mnapo badirisha nafasi hiyo Kuna kuwa na Demokrasia ya kupata Njia nzuri Mpya za Kisiasa. Mfano Mzuri chama cha Mapinduzi kinafuata Demokrasia hii Nafasi ya Mwenyekiti wa chama kitaifa ina Ukomo mtu anapo maliza Muda wake.
Hii itaepusha kama kilicho tokea mwaka 2015 hadi mmefikia hivi sasa chama kimekosa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama, watu walio kuwa wakiaminika kwenye chama wana ondoka na kuamia vyama Vingine.
Hayo ni maoni yangu nawasilisha [emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app