Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

Juakali siasa zimemshinda useless kuliko toilet paper.
Bungeni kaletwa na Chadema,malalamiko yake ayapeleke huko.Lakini kama ameichoka Chadema basi angatoka kwanza.
Mjinga yule amesahau kuwa yeye sio independent member of parliament .Au amesahau kuwa ni wapinzani akina Mchungaji Mtikila aliyepigania mgombea binafsi inayopingwa na CCM?
 
Cheap politicians can be bought and sold
 
Njaa mbaya sana aisee
 
Kwa taarifa yako chadema wanahati safi mwaka wa fedha 2018/2019 wakat ccm na watoto wao ambao ni uvccm wanahat chafu sasa yup hooligan kati ya ccm na chadema.
 
Kama nyie mnavyotetea kaka yenu wa mkoan geita.
 
Ni lin walichangia weka rist inayoonyesha mchango wa huyo boya alirsaidiwa na lissu mahakaman kwenye rufaa akaponea chupchup saiv angewa lupango, kwanza nashaur chama kuwaondoe mawakili wake wanaomtetea kwenye kesi zake mbalimbali ili inzi wa kijani wamuwekee wakili au wamfutie mashitaka.
 
Una akili za kuganda sana, kwani mwaka 2015 wewe ndo uliwapigia kura wabunge wa CHADEMA? Wakeup fella. Wananvhi ndo watakaochagua na sio wewe, unless uweke mpira kwapani kama uliviofanya uchaguzi serikali za mitaa.
 
Bw. Yericko Nyerere wewe si mtu wa kuleta utetezi mwepesi kama huu juu ya tuhuma hizi nzito, wewe mmbobezi katika maswala ya kijasusi na kiuchumi huwezi kuleta utetezi wa HAWARA kwenye NDOA.

Hebu tuiweke kwanza katiba pembeni na tuzitumie akili ambazo tumejaliwa kuwa nazo.

1. Katika vitabu vya Imani (Qur'an) inakatazwa mtu kutoa hukumu pasi na kumsikiliza mtuhumiwa

KWANINI?

2. Mahakama haitoi hukumu pasi kumsikiliza mtuhumiwa.

KWANINI UNADHANI

3. Katika uandishi wa habari kuna kitu tunakiita KUBALANCE STORI yaani kusikiliza upande wa pili wa habari hata kama mtakaye muuliza hatotoa ushirikiano (akagoma kupokea simu, akasema Hana cha kusema nk)

KWANINI IWE HIVYO

4. Unapo kua muajiriwa katika taasisi yeyote ile hufukuzwi kazi bila kupewa barua ya kufukuzwa, sababu za kufukuzwa na pia kuambataniswa na CHETI CHA UTUMISHI,

KWANINI HILO LIWE GUMU?

5. Sheria inatoa nafasi ya mtumishi wa taasisi kupewa barua za maonyo tatu kabla ya kupewa barua ya kufukuzwa isipokua kwa makosa matatu. Kupigana kazini, Wizi na kuihujumu taasisi (kuuza siri za taasisi kwa mpinzani wake)

NB
Kifungu ulichokitumia kinasema kusimamishwa na sio kufukuzwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsifu Mh lijualikali mwepesi wa kusoma political winds...keshaona chombo kinazama baharini
life jacket keshajivika kendelea kubaki kwenye chombo ni ujinga
 
Wangebadili katiba unafikiri mwanachama wenu ambaye ni msajili wa vyama Vya siasa asingeifutilia mbali CDM mapema Asubuhi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna kilichikosa adabu kwa watanzania kama CCM? Kimewaleatea umaskini wa kutupwa tangu tupate Uhuru, na sasa kimeamua kuwagombanisha watanzania na mataifa jirani.Chama cha kihuni hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri ushahidi upo kwa waliojaribu kumkosoa Mbowe au kumjaribu kwenye uenyekiti nini kiliwakuta,unapozumgumzia udikteta Chadema umetamalaq,usimtishe kijana mwache atumie haki yake ya kikatiba!
Hata membe alipotia nia yakutakakugombea Urais na katiba inaruhusu alifukuzwa uanachama.

Vipi huu si udikteta?

Ukikosolewa unauwa,unauwa kesi zisizona miguu nakila aina ya kesi kwasababu unalikosoa jiwe na ushahidii upo wakutosha.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia ukimaliza tuwasaidie chadema na wengine waijue katiba ya Tanzania na wakubal kua tume ya uchaguz ni huru kulingana na katiba yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru WA tume uko wapi.
Msikilize jiwe kwenye hotuba zake utajua kama nihuru au sihuru.

"Nikuchgue na msahara nikupe halafu umchague mpinzani"

Angalia yaloyojitokea kwenye serikali za mitaa kulikuwa na Uhuru gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…