Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na issue yako ya Corona kumbe huwa unatoa point😁😁😁
Tunafungua nchi jamani
Hamuoni demokrasia inarudi
Sisi hatutaki kodi ya dhuluma
Titalipa kodi hadi ti....
- Tozo la kuuza samaki
- Tozo la kutuma muamala
- Tozo la kupokea muamala...
acha tulipe nchi isogee huu ubunifu mzuri tu.Nimeanza kusikia harufu ya kumkumbuka hayati John Joseph Pombe Magufuli, asingeruhusu upuuzi huu, nakumbuka alivyozikataa nauli za awali za mabasi ya mwendo kasi.
hawa ndio Mtaka hawataki wanaharibu eleimu alafu wanakimbilia za kulipia alafu eti mzalendoAlisema Kidogo Tu Mtaka View attachment 1855662
Ukweli ni kuwa kodi tutalipa
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Mwacheni unaupiga mwingi. Endelea kumuunga mkono anarekebisha nchi, tumpe muda. Kunywa mtori nyama zipo chini.Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Hii hata gwaji boy ina mhusu.
Wabongo wengi bado wajingaNyie ni wajinga Sana hivi mnadhani haya yote yanafanyika bila idhini ya raisi ?
Kwanini mnashindwa kusema kuwa huyu mama ni mzigo tu mnawapa lawama watu wengine wakati yeye ndio raisi.
Nyie watu wapumbaf sana Kuna jambo litafanyika bila Rais kujuaNimeanza kusikia harufu ya kumkumbuka hayati John Joseph Pombe Magufuli, asingeruhusu upuuzi huu, nakumbuka alivyozikataa nauli za awali za mabasi ya mwendo kasi.
Anza kumshughulikia mganga wake aliyemwongopea kuwa amefaulu kututuliza ndio umsaidie b mkubwa huenda yupo kwenye ndani ya kibuyu katulizwa wee VP!?Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Anza kumshughulikia mganga wake aliyemwongopea kuwa amefaulu kututuliza ndio umsaidie b mkubwa huenda yupo kwenye ndani ya kibuyu katulizwa wee VP!?
Oh aiseeKiswahili bahari njomba. Jifunze kusema hapana bila a hard NO.