Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Shida ya kuwa na bunge la kuteuliwa na mwendazake ndio hivi, kila kitu NDIOOOOOOO, wanatimiza walichokiwa wameagizwa maee zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Sanduku la kura kwa tume ipiKama tulimsaidia mapema Sana awaondoe sumu zote zilizoathirika na awamu pendwa watamhujumu na asuke safu yake mpya akusikia akawakumbatia sisi tumsaidije sasa zaidi ya kumsubiria kwenye sanduku la kura.
Ngoja wamuharibie,kina madilu wapo kisiasa zaidi udereva wanautaka.
Nani amedhulumiwa na kodi na tozo hizi?
Inashindikana vip kuwa shoot kama walimvyomshoot TL ?Hata wabanwe vipi hawawezi kupunguza matumizi yao, kama wale wabunge kule bungeni ndio wahujumu uchumi kabisa, na chanzo cha umasikini wa hili taifa.
Titalipa kodi hadi ti....
Ngoja nasikia ku... nitarudi kumalizia maana siku hizi tinalipa kodi hadi tinaku... kila wakati
- Tozo la kuuza samaki
- Tozo la kutuma muamala
- Tozo la kupokea muamala
- Tozo la wakala wa simu kukupa muamala wako
- Tozo la kununua mafuta ya gari Tanroads warekebishe barabara
- Tozo kwenye mafuta kujenga barabara vijijini
- Tozo la kununua vocha ya simu
- Tozo la mwenye nyumba kupitia luku
- Tozo la SGR ukiingiza gari
Yaani mtoa huduma ana ada yake..serikali anachukua kodi plus tozo yake ambayo hatujui inaenda wapi...huu ni wizi wa mchana...Sijawahi kuona popote duniani transaction moja iwe na tozo tatu tofauti.. Kwa umoja wetu tukiamua tunaweza
Yaani mtoa huduma ana ada yake..serikali anachukua kodi plus tozo yake ambayo hatujui inaenda wapi...huu ni wizi wa mchana...
Yaani mwajiriwa unamlima kodi kwenye mshahara..akitoa hela kwenye ATM unamlima kodi tena..akimtumia mzazi unamlima kodi plus tozo juu .ndio maana wafanyabiashara wengi wanakwepa kodi .serikali wamekuwa kama vibaka
Safi sana kiongozi huu ujumbe uwafikie heslb hawa jamaa hawafai kabisa
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Bila kusahau kale ka ripoti ka BOT.......alikowasilisha CAG.Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Bila kusahau kale ka ripoti ka BOT.......alikowasilisha CAG.
Hakuna jinsi hizi kodi ni lazima zifutwe na huyo mhuni Mwigulu Nchemba ni lazima aondolewe kama Waziri mara moja. Wakatafute pesa kwingine wasitubebeshe mizigo isiyotuhusu. Yule dhalimu mwendazake kakomba pesa zote kufanya mambo yasiyo na maslahi kwa Watanzania kujenga chato na kununua ndege zinazoingiza mabilioni ya hasara kila mwaka.
Asizifute kodi hizi ila azipunguze kiwango by 30 % ili tuendelee kuchangia uchumiHapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
View attachment 1855654
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3.
2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi.
Kutoka kwa Mama tutategemea kusikia:
1. Hatua anazochukua kupata kodi halali tokea kwa vigogo wote.
2. Hatua anazochukua kutokana na ripoti za CAG.
3. Hatua anazochukua kudhihibiti matumizi ya serikali zikiwamo takrima za magari na majumba wanazopeana.
4. Hatua anazochukua kuhusiana na mashirika yanayozalisha hasara kila uchao.
Wametufikisha mahali ambapo kwa hakika hatuna njia nyingine ila sasa kuwataka kuziondosha kero hizi kwa vitendo.
Kwa pamoja tunaweza.
Ninawasilisha.
Mama aliteua mpaka washauri wake binafsi wa masuala ya uchumi, mambo ya jamii, diplomasia na takataka kibao hicho ndicho walichomshauri hapo wakulaumiwa sio Mwigulu wala nini ni yeye mwenyewe na sasa anakinukisha then anasepa nje ya nchi.Kama tulimsaidia mapema Sana awaondoe sumu zote zilizoathirika na awamu pendwa watamhujumu na asuke safu yake mpya akusikia akawakumbatia sisi tumsaidije sasa zaidi ya kumsubiria kwenye sanduku la kura.
Ngoja wamuharibie,kina madilu wapo kisiasa zaidi udereva wanautaka.
Asizifute kodi hizi ila azipunguze kiwango by 30 % ili tuendelee kuchangia uchumi