Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

Kama tulimsaidia mapema Sana awaondoe sumu zote zilizoathirika na awamu pendwa watamhujumu na asuke safu yake mpya akusikia akawakumbatia sisi tumsaidije sasa zaidi ya kumsubiria kwenye sanduku la kura.

Ngoja wamuharibie,kina madilu wapo kisiasa zaidi udereva wanautaka.
hata wote mkipiga kura upinzani.ccm ni lazima ishinde...(utani)
 
Dhuluma zinakuwa hivi:

View attachment 1856170

Hao wasio lipa kodi ndiyo hao wanaoendelea huku na matanuzi huku tukiwagharimia kwa kila kitu:

View attachment 1856172

Sampuli za wanaoongezewa kodi na tozo ni hawa hapa:

View attachment 1856174

Hao ndiyo kina sisi.

Bado humwoni anayedhulumu wala anayedhulumiwa?

Matumizi mabaya ya kodi za wananchi ni dhambi kubwa sana. Kuanzisha miradi kwa ajiri ya kupiga na kujineemesha kwa kutumia kodi za wanachi ni dhambi.
Kuuza hata kipande kidogo cha mali au utu wetu kama watanzania ni dhambi .
Pengine kilio hiki kitawakumbusha ukubwa wa dhamana waliyopewa kuongoza nchi.
 
Pa kuanzia, hakuna miamala hapa!

Hii hata kama tunaingia hasara.

Wavuvi wa samaki Mwanza wameonyesha njia.
 
Pa kuanzia, hakuna miamala hapa!

Hii hata kama tunaingia hasara.

Wavuvi wa samaki Mwanza wameonyesha njia.
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.
Mimi sitakaa kupanga foleni bank
 
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.
Mimi sitakaa kupanga foleni bank

Tozo ya uzalendo kwa muamala hiyo mimi, jamaa na ndugu zangu tumeikataa. Hata kama kwa kufanya hivyo tutakula hasara.

Kama wewe unaendelea, endelea. Ila hiyo si kwa wasioitaka. Tunao uwezo wa kuikataa na hata kumkataa Madelu kibinafsi na akatoka pale.

Hakuna miamala hapa!

Habari ndiyo hiyo.
 
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.
Mimi sitakaa kupanga foleni bank

Kumekucha:

Na bado tutamsaidia mama kutuondoa uozo wote.
 
Uwe na akili. Leta mambo ya Kitaifa hapa. Unataka tumsaidie mama yako sisi anatuhusu nini? Mzazi wako deal naye mwenyewe

Hahahaa haa 😂😂😂😂!

Komeo Lachuma unaitwa huku tayari kimeumana!

Hiiiiii bagosha!

Cc: Jumbe Brown
 
Back
Top Bottom