Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

Ukiachana na issue yako ya Corona kumbe huwa unatoa point๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ujinga mzigo. Hadi leo hujui kuwa Corona ni kipaumbele ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Ukishapumzishwa kwa Amani kwa Corona duniani unakuwa umebakiza nini?

Tunataka kuishi, tunaka kuishi vizuri tukiwa hai siyo tukiwa wafu.
 
Tunafungua nchi jamani

Hamuoni demokrasia inarudi

Sisi hatutaki kodi ya dhuluma

Kama hataki kodi ya dhuluma, tumsaidie kuwonyesha za dhuluma na za halali ni zipi:

Za halali: "kuna vigogo hawalali kodi, kuna wizi mkubwa CAG ripoti zipo, takrima za majumba na magari anazijua, kuna wabunge 19 kinyume cha katiba, kuna mashirika yanayozalisha hasara kila uchao, nk."

Za dhuluma: "hizi za kwenye mafuta na tozo kwenye miamala." Kibonzo kina ongea zaidi:



Au nasema uongo ndugu zangu?
 

Anachotakiwa kufuta ni tozo za heslb yaan value retention fee na penalty maana loan board wameweka ngumu kuziondoa,atusaidie awaelekeze loan board waziondoe kabisa walichofanya hakieleweki at VRF before 1 May hii ina maana gan?
 
Mwacheni unaupiga mwingi. Endelea kumuunga mkono anarekebisha nchi, tumpe muda. Kunywa mtori nyama zipo chini.
 
Nimeanza kusikia harufu ya kumkumbuka hayati John Joseph Pombe Magufuli, asingeruhusu upuuzi huu, nakumbuka alivyozikataa nauli za awali za mabasi ya mwendo kasi.
Nyie watu wapumbaf sana Kuna jambo litafanyika bila Rais kujua
 
Anza kumshughulikia mganga wake aliyemwongopea kuwa amefaulu kututuliza ndio umsaidie b mkubwa huenda yupo kwenye ndani ya kibuyu katulizwa wee VP!?
 
Anza kumshughulikia mganga wake aliyemwongopea kuwa amefaulu kututuliza ndio umsaidie b mkubwa huenda yupo kwenye ndani ya kibuyu katulizwa wee VP!?

Kiswahili bahari njomba. Jifunze kusema hapana bila a hard NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ