Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

Shida ya kuwa na bunge la kuteuliwa na mwendazake ndio hivi, kila kitu NDIOOOOOOO, wanatimiza walichokiwa wameagizwa maee zao
 

Nani amedhulumiwa na kodi na tozo hizi?
 
Sanduku la kura kwa tume ipi
 
Nani amedhulumiwa na kodi na tozo hizi?

Dhuluma zinakuwa hivi:



Hao wasio lipa kodi ndiyo hao wanaoendelea huku na matanuzi huku tukiwagharimia kwa kila kitu:



Sampuli za wanaoongezewa kodi na tozo ni hawa hapa:



Hao ndiyo kina sisi.

Bado humwoni anayedhulumu wala anayedhulumiwa?
 
Hata wabanwe vipi hawawezi kupunguza matumizi yao, kama wale wabunge kule bungeni ndio wahujumu uchumi kabisa, na chanzo cha umasikini wa hili taifa.
Inashindikana vip kuwa shoot kama walimvyomshoot TL ?
 
Ila katika hili mama ameingizwa kwenye chuki na mgogoro na Watanzania na wakina mwigulu.Isitishwe hii tozo wasingoje mpaka ya Africa kusini yatokee
 
Umesahau za REA na EWURA
 
Sijawahi kuona popote duniani transaction moja iwe na tozo tatu tofauti.. Kwa umoja wetu tukiamua tunaweza
Yaani mtoa huduma ana ada yake..serikali anachukua kodi plus tozo yake ambayo hatujui inaenda wapi...huu ni wizi wa mchana...
Yaani mwajiriwa unamlima kodi kwenye mshahara..akitoa hela kwenye ATM unamlima kodi tena..akimtumia mzazi unamlima kodi plus tozo juu .ndio maana wafanyabiashara wengi wanakwepa kodi .serikali wamekuwa kama vibaka
 

Rahisi - ya nini kulipia miamala?
 
Hakuna jinsi hizi kodi ni lazima zifutwe na huyo mhuni Mwigulu Nchemba ni lazima aondolewe kama Waziri mara moja. Wakatafute pesa kwingine wasitubebeshe mizigo isiyotuhusu. Yule dhalimu mwendazake kakomba pesa zote kufanya mambo yasiyo na maslahi kwa Watanzania kujenga chato na kununua ndege zinazoingiza mabilioni ya hasara kila mwaka.

 
Bila kusahau kale ka ripoti ka BOT.......alikowasilisha CAG.
 

Hakuliki hakulaliki.
 
Asizifute kodi hizi ila azipunguze kiwango by 30 % ili tuendelee kuchangia uchumi
 
Mama aliteua mpaka washauri wake binafsi wa masuala ya uchumi, mambo ya jamii, diplomasia na takataka kibao hicho ndicho walichomshauri hapo wakulaumiwa sio Mwigulu wala nini ni yeye mwenyewe na sasa anakinukisha then anasepa nje ya nchi.
 
Bunjumbula ameenda na watu kibao hizo kule wamelala bure na kula bure lakini wanalipwa hela ya chakula, hela gesti ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…