Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
hata wote mkipiga kura upinzani.ccm ni lazima ishinde...(utani)Kama tulimsaidia mapema Sana awaondoe sumu zote zilizoathirika na awamu pendwa watamhujumu na asuke safu yake mpya akusikia akawakumbatia sisi tumsaidije sasa zaidi ya kumsubiria kwenye sanduku la kura.
Ngoja wamuharibie,kina madilu wapo kisiasa zaidi udereva wanautaka.
Kakimbia upepo wa tozoBunjumbula ameenda na watu kibao hizo kule wamelala bure na kula bure lakini wanalipwa hela ya chakula, hela gesti ,
Dhuluma zinakuwa hivi:
View attachment 1856170
Hao wasio lipa kodi ndiyo hao wanaoendelea huku na matanuzi huku tukiwagharimia kwa kila kitu:
View attachment 1856172
Sampuli za wanaoongezewa kodi na tozo ni hawa hapa:
View attachment 1856174
Hao ndiyo kina sisi.
Bado humwoni anayedhulumu wala anayedhulumiwa?
Matumizi mabaya ya kodi za wananchi ni dhambi kubwa sana. Kuanzisha miradi kwa ajiri ya kupiga na kujineemesha kwa kutumia kodi za wanachi ni dhambi.
Kuuza hata kipande kidogo cha mali au utu wetu kama watanzania ni dhambi .
Pengine kilio hiki kitawakumbusha ukubwa wa dhamana waliyopewa kuongoza nchi.
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.Pa kuanzia, hakuna miamala hapa!
Hii hata kama tunaingia hasara.
Wavuvi wa samaki Mwanza wameonyesha njia.
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.
Mimi sitakaa kupanga foleni bank
Haitawezekana....wale wataacha kuvua samaki. Wewe mbona unachat? Ni kuendelea kuchangia kodi.
Mimi sitakaa kupanga foleni bank
Uwe na akili. Leta mambo ya Kitaifa hapa. Unataka tumsaidie mama yako sisi anatuhusu nini? Mzazi wako deal naye mwenyewe