Pre GE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Step down
 
Kwa zile tuhuma za mange ni Bora aondoke.
 
Acha kuhangaika ,Samia ni Rais Hadi 2030 kazi zinaongea wala hahitaji kupanda jukwaani 👇👇

View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1785971896682422492?t=MtT1_aHVJeukGl8CET8jnw&s=19
 
Awamu hii ni tofauti sana na awamu ya 5. Utawala wa Samia uko light kiasi kwamba, wapinzani wakiamuka tu hadi December 2024 samia ataanza kuzomewa.
ila pesa inatembea kotekote safari hii,ndiyo tegemeo.
 
Burknafaso,Niger, Mali, Angola, Senegal.... Hizi ni mfano... Na wao Wameletewa tu ??.
 
Burknafaso,Niger, Mali, Angola, Senegal.... Hizi ni mfano... Na wao Wameletewa tu ??.
Walipigia Kura watu wangapi ? Au Kura zilipigwa baina ya choices fulani (nomination) Ni sawasawa unaambiwa uchague baina ya 1, 2 na 3 sasa aliyechagua ni wewe mwenye hizo choices tatu au aliyekuletea hizo Tatu kutoka kwenye 10 ?

Food for thought....
 
Samia mpaka 2030, hutaki Kaponde halafu unywe chupa ufe
 
Walipigia Kura watu wangapi ? Au Kura zilipigwa baina ya choices fulani (nomination) Ni sawasawa unaambiwa uchague baina ya 1, 2 na 3 sasa aliyechagua ni wewe mwenye hizo choices tatu au aliyekuletea hizo Tatu kutoka kwenye 10 ?

Food for thought....
Duuhh ,,, kwamba unajitoa ufaham kiasi Cha kutokujua kwamba, Hata hao walokuletea machaguzi hayo 3, wameyaleta Kwa kuzingatis Raia wanataka nani?.


Wewe Kwa mtazamo Huu wako, Unadhan njia gan ilikua sahihi kupata kiongozi ?.
 
Asigombee
 
Samia mpaka 2030,

Majibu yako hapa:
1. Maono ndiyo nini? Je tunataka maono ya mtu mmoja au maono ya Serikali. Tunayo vision 2025 iliandikwa kipindi cha Mkapa na ndiyo tunatekeleza

2. Unataka akujengee hoja za kitu gani? Kwani kuna midahalo Ikulu?

3. Hajashindwa usimamizi kwa kuwa tumeona miradi ya JNHEP ikikamilika na SGR Dar -Moro ikikamilika pia

4. Uwezo wa kupambana na Rushwa unasimamiwa na utawala wa sheria kupitia vyombo vya haki jinai

5. Uwezo wa kuthububutu mara nyingine ni ukatili wa kijjnga kama wa Magufuli alipoamua kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi. Huo unyama hauna nafasi kwa nchi ya kistaarabu

6. Ngorongoro ni suala la ecology, laziima watu wapungue ili ibaki kuwa word heritage site. Bandari kubinafsishwa kwa DP WORLD ni kuongeza tija. Katiba Mpya ni mchakato umeanza miaka ya 1992, itakapofika utaiona lakini isije kwa shinikizo la wanasiasa
 
mfumko Mkuu, mfumko wa bei kila sehemu

Na mafuta bei imepaa tena,
Na mafuta yakipanda bei kila kitu kinapanda bei pia sababu inapelekea gharama za usafirishaji wa bidhaa kupanda ktk kumfikia mlaji sokoni toka shambani.
Na yale mafuta ya mitambo ya uzalishaji bidhaa hupelekea gharama za uzalishaji kupanda na hatimae bei ya bidhaa kupanda na anaeumia ni młaki wa mwisho (mwananchi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…