Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
37,420
Reaction score
92,254
Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega.

Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema asante maana kifo na uhai vi mikononi mwako. Fungua milango ya baraka kwa kila mmoja aliyeweza kufika tar hii na tunavunja mipango yote ya shetani aliyopanga kwa mwaka ujao juu ya watoto wako...Katika jina la Yesu Kristo!

Katika haya machache naomba na kushukuru. Wote tuseme Amina (andika Amina tu usiwe na maneno mengi mtu wa Mungu).
 
Amen
 
Hivi story za Nimrod ni za ukweli au ni uzushi wa kipagani?!
 
Back
Top Bottom