Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega.

Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema asante maana kifo na uhai vi mikononi mwako. Fungua milango ya baraka kwa kila mmoja aliyeweza kufika tar hii na tunavunja mipango yote ya shetani aliyopanga kwa mwaka ujao juu ya watoto wako...Katika jina la Yesu Kristo!

Katika haya machache naomba na kushukuru. Wote tuseme Amina (andika Amina tu usiwe na maneno mengi mtu wa Mungu).

Kwanini usifungue kanisa tupige hela kipenz, maana si kwa upako huo!
 
Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega.

Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema asante maana kifo na uhai vi mikononi mwako. Fungua milango ya baraka kwa kila mmoja aliyeweza kufika tar hii na tunavunja mipango yote ya shetani aliyopanga kwa mwaka ujao juu ya watoto wako...Katika jina la Yesu Kristo!

Katika haya machache naomba na kushukuru. Wote tuseme Amina (andika Amina tu usiwe na maneno mengi mtu wa Mungu).
Kama ungejua kuwa
Siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyopunguza siku za kuishi duniani.
Kufikisha miaka 60 kwa maisha ya sasa ni kazi ngumu sana maana matatizo ni mengi.
Una miaka mingapi? Km umefika 30 mpk ufike 60 ni mingapi umebakiza?
 
🙏
 
Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega.

Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema asante maana kifo na uhai vi mikononi mwako. Fungua milango ya baraka kwa kila mmoja aliyeweza kufika tar hii na tunavunja mipango yote ya shetani aliyopanga kwa mwaka ujao juu ya watoto wako...Katika jina la Yesu Kristo!

Katika haya machache naomba na kushukuru. Wote tuseme Amina (andika Amina tu usiwe na maneno mengi mtu wa Mungu).
Amina
 
Back
Top Bottom