#COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

Watu weng tumekuwa wavivu wa kufikili tunapenda cna kamseleleko has viongoz wetuu
 
Ushauri wangu kwa Askofu Gwajima.... Ajiuzulu ubunge wa Kawe ili akaendeleze kazi ya kutoa ilmu ya athali za chanjo hii kupitia kwa waumini wa kanisa lake.

Pamoja na hoja yake kuwa ina mashiko, hawezi kuwatumikia mabwana wawili, Kuna maslahi zaidi kwa waumini wake.
 
Wewe dada mbona unapigia debe sana chanjo
 
Mkuu kwa mjib wa nyerere voice, hakuna umalaya mkubwa Kama wa siasa, Ni hao hao walikuwepo kwenye awam ya 5, ndo hao wapo awam ya 6, ila Ni sura 2 tofauti, Sasa tuwaamini? Mkuu gwaj boy anahoja ya msingi sana, doz m1, wataozaliwa watakuwa Nan?
 
tatizo ni moja 2.ni tatito la kukosea kuoa kwa baba.rip jpm huku ungeona kinachotupata ungelia machozi.watanzania tunakukumbuka
 
Nimesoma mpaka hapa nikaacha!! Hivi kweli US haina uwezo wa kutupiga na jeshi letu hili la sahivi mpaka kwanza watufanye ''mazombie''???

Kwani wakituma drone 5 tu mbona zinatosha kutumaliza. Hawahitaji mabiliom ya chanjo ili tu kutumaliza ni kujipa sifa zisizokua na uhalisia.

Mfano madawa 90% yanatoka nje yote hayo wasiweke sumu ila eti chanjo pekee ndio sumu iwepo?? Are we serious? Hivi kuna silaha gani ya kivita imetengenezwa bongo? Kwanini usiwaze kwamba hta hizo silaha ma ndege vita zimepuliziwa elements za kuwamaliza wanajeshi wetu??

Yaani bidhaa moja tu ndio ina sumu? Ila bidhaa zote ambazo tuna import kila mwaka ndio zipo safe?? Are you serious
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo

SWALI:
Kwanini upate chanjo?
Eeh inapunguza case ya kifo na kupata severe cases..... Yaani kma watu elfu 10 wameugua Covid Basi bila chanjo wangekufa hata 500. Ila kwa sababu ya chanjo watakufa 50 pekee!!

Tusipende ku generalise mambo kama hatujaenda shule..... Hata ukitumia Condom bado sio guarantee kwamba hupati VVU ila mbona hazijapigwa marufuku?? Kma unaona hazina faida embu propose nasi suluhisho ni nini??

Watu wanatumia chanjo na vifo vimepungua anakuja mmachinga wa Tandika anakejeli wakati nchi nzima imeshindwa hata kutengeneza Panadol tu!!

Embiciles
 
Seriously Gwajima?? Kwanini usitumie paper ya kitaaluma?? Yaani Gwajima ndio mchambuzi wa kitaaluma mpaka mseme hoja yake ipo hapo? Anajua nini kuhusu DNA au mRNA
 
 
Gwajima huyu au
 
Kama huu ndiyo ushahidi wa hoja ya DNA basi shida kubwa ni uelewa wa lugha ya kiingereza wa wasomaji wetu wa kibongo. Nashauri utulie usome upya; hii article haisemi kuwa DNA ya mtu inabadilishwa na chanjo.
 
Mkuu, huyo jamaa uwezo wake wa kuelewa ni mdogo sana hawezi kukuelewa.
Btw, kuna batch ya J &J wakanada waliikataa.
Sisi hapa kwetu tunapokea tu bila kufanya analysis yoyote.
 
Magufuli amewaharibu sana,hivi mwafrika utamkwepaje mzungu akidhamiria kukuua?
Unakataa chanjo ya corona,vipi kuhusu chanjo ya polio,ndui na surua?
 
Mkuu, huyo jamaa uwezo wake wa kuelewa ni mdogo sana hawezi kukuelewa.
Btw, kuna batch ya J &J wakanada waliikataa.
Sisi hapa kwetu tunapokea tu bila kufanya analysis yoyote.
Hivi kwa utaalamu gani mlionao?yani kutengeneza chanjo hamuwezi halafu ndio muweze kufanya analysis? Yani Magufulu alipowaambia ninyi ni donor country mnakubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…