Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Tukumbuke tu RAS wake alikuwa katibu mkuu Tamisemi kama sijakosea.Na RAS yuko vizuri mno shida ya Mtaka ni ile ile ya vijana wengi waliopewa madaraka.
Mtaka ni RC bora kuliko wote Tanzania, tubishanie mengine hili halina ubishi.

Mtaka anawajuwa vyema marafiki wa Mtaka na marafiki wa cheo chake, wengi wangekuwa wanalijuwa hili wasingeharibikiwa, kwa mbali namuona Mrisho Gambo kama akili zimeanza kumrudia.
 
Ujana maji ya moto.

Wote hao na huyu Gambo bado wanapigwa semina za uhakika maeneo mengi tu pamoja na hii ya "man- management".
 
aweke watu wenye akili na busara za kiuongozi sehemu nyeti, sio akina bashite ambao hawajui lolote hata hekima hawana
 
Inaonyeaha nikwajinsi gani wasaidizi wake hawatampa ushauri tena, uwe wa kweli au uwongo. Kwasababu anawasema hadharani kwamba wanamdanganya, au kwa maana ingine ni kwamba hasikilizi ushauri, wanajisumbua wanaomshauri
Na amewashushia heshima sana.
Kauli yake imeonyesha mambo kadhaa.
1 washauri wake hawafanyi kazi objectively
2 wanatoa ushauri bila kufanya utafiti.
3 wanamajungu
4 siyo waaminifu kwake
5 wanachuki binafsi dhidi ya watu Fulani
6 hawajui wanachokifanya
7 siyo waaminifu kwa rais
8 rais hawaamini tena
9 yeye pekee ndiye anayejua kipi ni sahihi na siyo washauri wake
10 hatazingatia tena ushauri wake
11hawafai kuendelea kuwa ofisini kumshauri rais
12 hawana nia njema na rais

Kauli hiyo ya rais ikidadavuliwa sana inaumiza sana kwa wasaidizi wake na inadhalilisha sana
 
Ni jambo jema na inapendeza kupewa sifa
 
Ingekuwa vizuri sana kama DAB angehamishiwa Mbeya.
 
Na mkimleta dar TU ndo mtajua kuwa kwel HAFAI
 
Kwa hiyo Dar ndio mnastahili RC bora. Jiji la mwisho kimapato.
 
Tukumbuke tu RAS wake alikuwa katibu mkuu Tamisemi kama sijakosea.Na RAS yuko vizuri mno shida ya Mtaka ni ile ile ya vijana wengi waliopewa madaraka.
Yuko vizuri toka akiwa DC Mvomero district, Morogoro.
 
This explains why baada ya kumtumbua Diwani amegundua walimwingiza chaka sasa kaamua kumpa ukurugenzi TAKUKURU.
 
Inaonyeaha nikwajinsi gani wasaidizi wake hawatampa ushauri tena, uwe wa kweli au uwongo. Kwasababu anawasema hadharani kwamba wanamdanganya, au kwa maana ingine ni kwamba hasikilizi ushauri, wanajisumbua wanaomshauri
Kuna faida kwa alichokifanya.....wasaidizi ni kazi kwa ofisi yake lazima wa recommend...hivyo next time hawatakuja tena na majungu......wataweka fact mezani.
 
Tukumbuke tu RAS wake alikuwa katibu mkuu Tamisemi kama sijakosea.Na RAS yuko vizuri mno shida ya Mtaka ni ile ile ya vijana wengi waliopewa madaraka.
Alifanya nini Tamisemi..kwnz hiyo ni demotion toka katibu mkuu hadi katibu tawala..Mtaka mwenyewe ndio driver wa success hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…