Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

Hanganya anasema ni used huyu anasema ni mapya

View attachment 2437694
Haya mabehewa y WWII yanatia kichefuchefu na wamewahisha ili wapewe 10% .yaani ni kituko mabehewa ya masafa marefu ndo yaliyokuja na reli yake haipo .ya masafa mafupi ndo haiyapo na reli yake ipo tiari .swali je kulikuwa na uharaka gani wa kufanya hivyo kama sio rushwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo treni ya umeme mnaweza mkawa mnasafiri ukajikuta ww na behewa lako mmebaki station wenzenu wanaitafuta dodoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kadogosa amekubaliana na Kigwangalla kuwa kila behewa moja wamenunua kwa TSh 2 billion kwani behewa 59 wamezinunua kwa USD 59.6 million sawa na TSh 120 billion.

Je, yupo anayejua bei ya behewa jipya la electric sgr linauzwa bei gani huko duniani na hilo used linauzwa ngapi? Hii inaweza kutusaidia kujua kama hayo mabehewa tuliyonunua ni used au ni mapya au zaidi ya mapya?

Katika pekua pekua yangu nimekuta kitu hiki India kwamba bei ya behewa moja la axle 25 axle load linauzwa Rs 2.5 million sawa na TSh 71 million. Inawezekana bei hii ni ya mabehewa yasiyo ya kisasa ya umeme kama yalivyo yetu na pia labda ni used. Sawa, hata kama hayo waliyonunua wahindi si ya kisasa na ni used, tofauti ya bei haiwezi kuwa kubwa kiasi hiki: kutoka TSh 71 million hadi 2 billion!

Sasa ndugu unaona ni sawa kulinginisha bei ya behewa la mzigo na la abiria? Bei ya basi inaweza kuwa sawa na bei ya tela la roli?
 
Back
Top Bottom