Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

Masanja yupo sahihi, yale mabehewa ni mapya, nendeni mkayaone msiyahukumu kwa picha
 
Sasa ndugu unaona ni sawa kulinginisha bei ya behewa la mzigo na la abiria? Bei ya basi inaweza kuwa sawa na bei ya tela la roli?
Hata kama ni la mizigo tofauti haiwezi kuwa mara mia mbili. Tuletee basi bei ya behewa moja la abiria la umeme ni pesa ngapi hapa duniani?
 
Hata kama ni la mizigo tofauti haiwezi kuwa mara mia mbili. Tuletee basi bei ya behewa moja la abiria la umeme ni pesa ngapi hapa duniani?
Mkubwa, kwa namna yoyote behewa la mzigo haliwezi kuwa na gharama sawa na la abiria, behewa la mzigo ni box tupu, la abiria limewekewa zaga nyingi za kumfanya abiria awe comfortable, mf mfumo wa umeme, Ac, maji, viti, vyoo nk
 
Yule muhehe mtani wangu ,anasema ni mapya kabisa alafu ni ya ghorofa,,,
Anaongea huku akiwafokea watanzania waache upotoshaji,,
Sisi kosa letu ni nini ?
Wanaongea wenyewe wanakanusha wenyewe ...bunge lipo kimya hata wawakirishi wetu wanaokula kodi zetu bungeni ,,,awatupi majibu ya kueleweka...
Sheria iliyopitishwa na bunge ..ni marufuku serikali kununua vitu used...
Kwa ili sijui hata tusemeje......
 
Haa kipindi cha mwendazake zito kila wakati alikuwa anamsagia kunguni magu kuwa amenunua terrible tween .leo zito yupo kimya kama vile amna kilichotokea
 
kwa iyo kama wote ni Waongo, yatakua mabehewa ya aina gani ayo mkuu?

Utakuta rais aliambiwa ukweli akaona aongee uongo wa kivyake, na huyo meneja wa TRC yeye kaamua kuongea uongo wa wazi.
 
Wacha mimi niendelee tu kumuamini Mwenyezi Mungu, badala ya Wanasiasa.
Dah!

Sijui kama itasaidia chochote kwa wewe kuendelea "tu kumuamini Mwenyezi Mungu..." kwa maana hao hao "wanasiasa" unaotaka usiwaamini, wao wenyewe wanadai wapo katika nafasi hizo wanazozitumia hata kusema uongo kwa sababu Mungu huyo huyo unayemwamini wewe ndiye aliowaweka wao katika madaraka hayo. Au hukusikia walivyodai wenyewe hivi juzi juzi tu!
 
Nina uhakika,wizi wa wazi wazi namna hii,unawatia uchungu sana watanzania,na ipo siku,kuna watu watalipia wao na familia zao.
Ni vigumu sana kudanganya watu kwa kuwafanya wajinga kiasi hiki.

Ni kweli mabehewa ni used,lakini haitoshi kusema hivyo.
Used ni bei gani? Na kwa nini used? Hao waliosema ni mapya walitaka kupata nini kwa kudanganya?
Je waachwe hivi hivi?

Sent JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom