Tumuombee kwa Mungu brother Stevie B ainuke

Maradhi ya figo yanasababishwa na nin? Isjekuwa na Mimi nipo kwenye the same line, tusaidiane jaman

Sababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.
 
Sawa mkuu ahsante sana
 
Namuonea sana huruma Steve B ,ugonjwa wa figo ni ugonjwa mbaya sana,nilikuwa natizama kipindi ITV miaka ya nyuma,nikaona wagonjwa wanahojiwa,ndio nikajua niugonjwa mbaya sana na matibabu yake nigharama sana.
Huu ugonjwa nlikuwa uona nuksi baada ya kumpeleka jamaa yangu mmja alikuwa anaudhuria clinic kwa Dr kisanga...
Alafu wote tulikuwa Chama la kupiga mtungi
Jamaa yngu mpk Sasa amewekwa kwenye huduma ya kusafisha Figo..... Ilibidi auze Gari, kiwanja ili aanzee matibabu
Matatizo ya Figo ni ugonjwa mbaya sna

Ova
 
Sababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.
Hiyo #4 inatuhusu ndomana tungi Sahv nmepungza kwa kiasi Kikubwa

Asante kwa ushauri huu
[emoji106]

Ova
 
Huu ugonjwa nlikuwa uona nuksi baada ya kumpeleka jamaa yangu mmja alikuwa anaudhuria clinic kwa Dr kisanga...
Alafu wote tulikuwa Chama la kupiga mtungi
Jamaa yngu mpk Sasa amewekwa kwenye huduma ya kusafisha Figo..... Ilibidi auze Gari, kiwanja ili aanzee matibabu
Matatizo ya Figo ni ugonjwa mbaya sna

Ova
Dah..!!
 
Back
Top Bottom