Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbunge wa wapi huyu?Brother, Dj Steve B, Dj Skills Djstevebtz anaumwa, anasumbuliwa na maradhi ya figo.
Tumuombee kwa Mungu brother ainuke tena. Tumkumbuke kwenye sala na dua na tuombee wagonjwa wote pia.
View attachment 1164711
Maradhi ya figo yanasababishwa na nin? Isjekuwa na Mimi nipo kwenye the same line, tusaidiane jaman
Sawa mkuu ahsante sanaSababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.
Naenjoi kinoma noma asantii asantii"Stivu bii unafanya muji inatingishika'"
Mungu asimame naye,arudi kwenye hali yake ya kawaida..
Huu ugonjwa nlikuwa uona nuksi baada ya kumpeleka jamaa yangu mmja alikuwa anaudhuria clinic kwa Dr kisanga...Namuonea sana huruma Steve B ,ugonjwa wa figo ni ugonjwa mbaya sana,nilikuwa natizama kipindi ITV miaka ya nyuma,nikaona wagonjwa wanahojiwa,ndio nikajua niugonjwa mbaya sana na matibabu yake nigharama sana.
Hiyo #4 inatuhusu ndomana tungi Sahv nmepungza kwa kiasi KikubwaSababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.
Asante kwa ushauri huuSababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.
Dah..!!Huu ugonjwa nlikuwa uona nuksi baada ya kumpeleka jamaa yangu mmja alikuwa anaudhuria clinic kwa Dr kisanga...
Alafu wote tulikuwa Chama la kupiga mtungi
Jamaa yngu mpk Sasa amewekwa kwenye huduma ya kusafisha Figo..... Ilibidi auze Gari, kiwanja ili aanzee matibabu
Matatizo ya Figo ni ugonjwa mbaya sna
Ova
kunywa maji kwa wingipunguza kunywa pombe kali,punguza kutumia madawa makali,acha kuvuta sigara,acha kubana mkojo kwa muda mrefu nawe utaepukana na magonjwa ya figoFigo imekua janga kwa miaka hii,mungu amponye mapema