Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 419
- 1,020
Hawezi kuwaza chochote maana hata Akili ishahama. Kwa ufupi yupo unconscious.Sijui atakua anawaza nini wakati huu ambao anajua fika ni muda tu umebaki atwaliwe.
ukweli ni upi ?Siyo kweli
Wewe ni nani wa kupanga cha kuandika humu ?Mtaanzisha mabishano mengine yasiyo na mantiki.
Umri ikishasogea sana na maradhi mtu anakuwa haogopi tena kifoSijui atakua anawaza nini wakati huu ambao anajua fika ni muda tu umebaki atwaliwe.
Simaanishi kutaka kukupangia. Sijakushurutisha uandike hivi alafu uache vile.Wewe ni nani wa kupanga cha kuandika humu ?
pele ni mtu wa mpira na wote niliowataja ni watu wa mpira au ulitaka nimtaje john sins humu ?
82 years old anasumbuliwa na Colon Cancer ambayo Chadwick Boseman ilimchukua 2020 ikiwa imeshafika Stage IV kwa hio kwa hatua aliyofika Pele possiblity kubaki hai ni ndogo mno anytime announcement inaweza ikatokaAna miaka mingapi? Isije ikawa imezidi ile ya ahadi tulopewa ukiwa na nguvu na yupo kwenye ile miaka ya tabu na mateso
Unamuombea vp mtu apumzike anapostahili kabla hajafa ?Simaanishi kutaka kukupangia. Sijakushurutisha uandike hivi alafu uache vile.
Nimesema wazi 'mtaanzisha mjadala mwingine usio na mantiki'. Hakuna mahala nimesema usiandike hiki.
Ok!. Nilimaanisha kuwa huu ubishani wa Pele na wengine, utawaufanya uzi ubadilishe uelekeo kuwa nani ni nani.
Huu uzi ulipaswa uwe mahususi kwa ajili ua Kumuombea apumzike anapostahili pasipo kuwalinganisha na wengine
kaifaidi Dunia vya kutosha.Ana 82.
Hands up!.Unamuombea vp mtu apumzike anapostahili kabla hajafa ?
hata akifa wewe kitakuuma nini au utapungukiwa nini
kafa diego armando Maradona na mpira unaendelea
mtu wa mpira tutaongelea mpira tu
hapa halikuwa swala nani ashinde nani ashindweHands up!.
You've won!. Maana unachotafuta ni ligi. Tutaishia kuubadili upepo.