spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Palliative care sio kukumaliza mkuu ni huduma wanakupa kulegeza ukali wa maradhi ulonayo kwa kua hayo maradhi yankua sio curable ili kuattain peaceful death ila hatuinduce kifo hataInasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care
Palliative care sio kukumaliza mkuu ni huduma wanakupa kulegeza ukali wa maradhi ulonayo kwa kua hayo maradhi yankua sio curable ili kuattain peaceful death ila hatuinduce kifo hata
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849]Wagonjwa wengi mahututi kabla hawajafa. Kuna sindano huwa wanachomwa kama final injection. Je ni sindano gani ile?
Maana nimeshawai kuuguza wagonjwa wawili muhimbili na mloganzila. Na wote siku yao ya mwisho kuna sindano walichomwa sikumbuki jina. Ila mara ya mwisho nililipishwa laki moja na hiyo sindano haipo kwenye bima nhif. Baada ya kuchomwa tu mgonjwa akafariki
Muhimu tumuombee kama wanadamu wengine maana maisha ni haya haya hapa dunianiItabdi sahv tupunguze kupiga vitu vikali
Ova
Ooh ok, Thanks.
usipokuwa na jina chadema hutasaidiwa. hata mdude kule mbeya alikaa rumande sana hata wakili wa maana walikuwa hawapeleki. wanachadema wengi tu wanakaa rumande lakini kwasababu hawana majina hawasaidiwi, ajabu ni kwamba hao wasio na majinda ndio huwa wameimarisha sana chama huko mashinani mtaani kabisa, ila wanaokula na kusaidiwa ni wale wa ngazi za juu tu.Itisha harambee mkamtibu. Je wanachama wengine wasio na majina makubwa hutibiwaje?
Cha msingi serikali iweke mazingira safi kwa watu wenye uhiari kama huu. Mtu aliye tayari ku-donate organs zake apate privilege au kitu flani (japo si malipo halisi kwani thamani ya organs hizo hailingani na chochote) ili pindi ukifariki basi organs zako zinachukuliwa.Kama ni Figo nadhani anahitaji zaidi Figo kuliko maombi...., Watu wamchangie, and by the way tuanze utamaduni wa mtu akiaga dunia ku-donate baadhi ya organs kwa kusaidia wanaobaki duniani; huu utamaduni wa kuzika perfectly good organs ni uchoyo kwa wanaobaki
Imenihuzunisha hii comment yako ndugu 😢Am a broke nigga complications zikinitokea sitaweza kuzimudu if I sell familia yangu itakula
Pamoja na mint. Mimi nimeipanda napoishi. Si unajua wahaya tunajua sana dawa.Nasikia tango ni tunda moja zuri ya kusafisha figo.
Nakumbuka ata Ruge Mutahaba ttzo Figo ilikua ?Hizi Figo hizi. Sijui kuna nini? Ni lifestyle au kitu gani?
Ni ukweli na ipo hivyoImenihuzunisha hii comment yako ndugu 😢
Epuka ulevi. Kunywa maji mengi na mlo sahihiAisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Mint unatumiaje ndugu yangu naomba maelekezoPamoja na mint. Mimi nimeipanda napoishi. Si unajua wahaya tunajua sana dawa.
Chuma kiasi chemsha chuja kunywa. Simple as that!Mint unatumiaje ndugu yangu naomba maelekezo
Hii Sasa ndio hatari,get well soonFigo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida