Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Inasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care
Palliative care sio kukumaliza mkuu ni huduma wanakupa kulegeza ukali wa maradhi ulonayo kwa kua hayo maradhi yankua sio curable ili kuattain peaceful death ila hatuinduce kifo hata

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Wagonjwa wengi mahututi kabla hawajafa. Kuna sindano huwa wanachomwa kama final injection. Je ni sindano gani ile?

Maana nimeshawai kuuguza wagonjwa wawili muhimbili na mloganzila. Na wote siku yao ya mwisho kuna sindano walichomwa sikumbuki jina. Ila mara ya mwisho nililipishwa laki moja na hiyo sindano haipo kwenye bima nhif. Baada ya kuchomwa tu mgonjwa akafariki
 
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Itisha harambee mkamtibu. Je wanachama wengine wasio na majina makubwa hutibiwaje?
usipokuwa na jina chadema hutasaidiwa. hata mdude kule mbeya alikaa rumande sana hata wakili wa maana walikuwa hawapeleki. wanachadema wengi tu wanakaa rumande lakini kwasababu hawana majina hawasaidiwi, ajabu ni kwamba hao wasio na majinda ndio huwa wameimarisha sana chama huko mashinani mtaani kabisa, ila wanaokula na kusaidiwa ni wale wa ngazi za juu tu.
 
Tupunguze kunywa pombe kali....hata chameleon wa uganda nae ana matatizo ya ini kwa sababu ya unywaji wa pombe kali....
 
Kama ni Figo nadhani anahitaji zaidi Figo kuliko maombi...., Watu wamchangie, and by the way tuanze utamaduni wa mtu akiaga dunia ku-donate baadhi ya organs kwa kusaidia wanaobaki duniani; huu utamaduni wa kuzika perfectly good organs ni uchoyo kwa wanaobaki
Cha msingi serikali iweke mazingira safi kwa watu wenye uhiari kama huu. Mtu aliye tayari ku-donate organs zake apate privilege au kitu flani (japo si malipo halisi kwani thamani ya organs hizo hailingani na chochote) ili pindi ukifariki basi organs zako zinachukuliwa.

Hii ita motivate watu na kuona vitu kama hivi ni vya msingi. Nadhani baadhi ya nchi duniani kama Marekani zinafanya kitu hiki.
 
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Epuka ulevi. Kunywa maji mengi na mlo sahihi
 
Back
Top Bottom