RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Mint zipo aina nyingi ni mint ipi hiyoMint sio mti uko katika muundo wa maua,search goolge mint utawekewa picha zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mint zipo aina nyingi ni mint ipi hiyoMint sio mti uko katika muundo wa maua,search goolge mint utawekewa picha zake.
.Mint zipo aina nyingi ni mint ipi hiyo
Maji kwa wingi.. (ila na yenyewe yana kemikali!)... Aisee life halina formula.. kumuomba Mungu atusaidieUshalima mazao yote?Halafu kumbuka ushauri wa kula matango ulitolewa na daktari.
Basi tufanye sawa je tufanye nini ili tusafishe figo zetu manake kila siku tunakula vyakula vilivyo puliziwa dawa.
Kansa haiangalii wewe wa mjini au kijijini..na mpaka leo haijulikani inaanzaje anzaje...hadi kuna wazungu wanasema ni bad luck...haiangalii hata umri..na zipo aina nyingi.. nimepoteza ndugu wa karibu wawili to cancer na walikuwa wanaishi a clean lifestylemojawapo ya chakula nisichopenda kukila tangu nijaribu kuwa mkulima nikagundua namna linavyowekwa mbolea na kemikali na dawa, nikiliona sokoni hadi huwa nawaonea huruma. mnakula kemikali tu. walau kidogo nyanya kwasababu unamenya, ila tango na tikitimaji za kibongo, labda ulime mwenyewe, la sivyo zinakuzwa kwa madawa na mnakula madawa tu pale ambayo yanaweza kusababisha kansa. ujiulize kwaninikansa ni magonjwa ya mjini tu ambako vyakula hivyo vinauzwa (kijijini kununua tikiti au tango ni anasa ambayo hutakiwi kusikika ukiifanya), mjini ndo hasara zake.
Karandarugo inatengenezwaje?Pamoja na mint. Mimi nimeipanda napoishi. Si unajua wahaya tunajua sana dawa.
Kuna nyimbo zaidi ya tatu nimemsikia Jay wa Mitulinga akisema "mshazusha sana kua nimeathirika",Jay Ana miwaya..pia kalapina kwenye ngoma yake beef akisema Jay kaungua..najua yote sanaa tu,mwamba atapona tunamuombea...
ARV inakula Figo balaa
Acha watu wale watakavyo.kwani wewe hutokufa?Ulaji wa mavyakula ya hovyo, kuna vijana wengi sana mtaani ambao siku haiwezi kupita bila kunywa soda mbili au tatu, yaani kwa mwezi anakuwa amekunywa soda 60-90 huku maji akinywa glass moja au mbili kwa siku. Kwa huu ulaji hâta uwe na mwili gani huwezi kutoboa.
Kinachowauwa vijana wengi ni ulimbukeni.
Nimejibu swali kulingana na nikivyoulizwa, hakuna sehemu niliyokuzuia kula mataputapu unayokula, najua kaisa hiyo ndiyo kula ya mafukara.Acha watu wale watakavyo.kwani wewe hutokufa?
Sawa Bill Gate.Nimejibu swali kulingana na nikivyoulizwa, hakuna sehemu niliyokuzuia kula mataputapu unayokula, najua kaisa hiyo ndiyo kula ya mafukara.
watu wana unafiki sana humu, ooh pombe, ilihali ukweli wanaujuaMsi isingizie pombe .. dear Pombe pole unasingiziwa jamani.
Tatizo Ni ngoma ..ARV ndo tatizo Ina anzia apo
Maskini na Tajiri wote wanachakatwa.Kansa haiangalii wewe wa mjini au kijijini..na mpaka leo haijulikani inaanzaje anzaje...hadi kuna wazungu wanasema ni bad luck...haiangalii hata umri..na zipo aina nyingi.. nimepoteza ndugu wa karibu wawili to cancer na walikuwa wanaishi a clean lifestyle
Achana naye huyo mwishoe atakwambia usishiriki maana kuna STDsUshalima mazao yote?Halafu kumbuka ushauri wa kula matango ulitolewa na daktari.
Basi tufanye sawa je tufanye nini ili tusafishe figo zetu manake kila siku tunakula vyakula vilivyo puliziwa dawa.
Watu bwana! Aya bwana"Seed Oil" kama alizeti na mafuta mengi ya kupikia ni sumu na hatari sana kwa mwili kuliko wengi wanavyoelewa. Mafuta ambayo ni safe hadi sasa kwa mujibu wa wataalamu wa Lishe ni Olive Oil na Ghee/Samli Ukishindwa hayo gonga chukuchuku tuu.
Duh, mbona ni Kama unelekea kukufuru Kama mfalme betshaza!?Nimejibu swali kulingana na nikivyoulizwa, hakuna sehemu niliyokuzuia kula mataputapu unayokula, najua kaisa hiyo ndiyo kula ya mafukara.
Wakuingilia kati ni Yesu au ni Mungu aliyemuumba Yesu na aliyemuumba huyo Prof. J? Maana nijuavyo mimi huyo Yesu mwenyewe anamuomba Mungu. Mimi nasema, eeh Mungu uliyemuumba Yesu, Maria, Muhammad, mimi na Prof. J; muokoe mja wako toka ktk hali ngumu ya maradhi aliyonayo kama ulivyomuokoa mja na nabii wako Yunus toka ktk mdomo wa samaki Chewa. Hakika hakuna lenye kukushinda wewe Muumba mbingu, ardhi na vyote vya duniani na kila mahali. Hakuna anayestahili kuombwa kwa haki isipokuwa wewe pekee usiye na mshirika. AmenFigo??! Yesu ingilia kati jmn
Mkuu kuna watu wengine wapo humu ili kuwatafutia watu madhambi bure tu.Duh, mbona ni Kama unelekea kukufuru Kama mfalme betshaza!?
Mzee shirimaa bwana,, XxxxMsi isingizie pombe .. dear Pombe pole unasingiziwa jamani.
Tatizo Ni ngoma ..ARV ndo tatizo Ina anzia apo
Michango imefikia 22M ikiwa ni juu ya lengo(20M)
Hali ya mwanetu bado haijakaa sawa.
Siku yoyote atakwea pipa kwenda Ng'ambo kwa matibabu zaidi.
Sala na dua zetu muhimu sana kwa Niga J.
View attachment 2118375